Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Msishangae sana jamani, hilo ndo tatiz la kukulia vijijini harafu elimu ikakusaidia ukaja mjini lazima uwe limbukeni kama huyu jamaa. Mazingira ya kwao ndio yamemuathiri jamani sio kosa lake, anataka akirudi kijijini kwao nae awe anawarusha wenzake kuwa anaijua Jamii forum na pia huwa anaanzisha thread. Tusipoteze mda kumjadili tafadhalini sn, maana 2taonekana wote sawa!
 
Wewe Soma Acheology au Psychology UDSM halafu uje mtaan ukutane na Mtu aliesoma ICTM Mzumbe au TAX Management ya IFM ndo utakapojua kuwa kipi ni chuo bora.
 

Duh kweli wewe ndo unaongea pumba! Kaangalie TCU Admission Guide, uone Cut off point ya kujiunga na baadhi ya kozi kwa vyuo mbali mbali. Unaongea mambo ya kizamaaaani wakati huo, wote tuliopata division one ilikuwa straight UDSM, MUHAS (by then MUCHS). Masalia walienda ARU (by then UCLAS), Mzumbe (by then IDM Mzumbe) na vyuo vya binafsi!

Hivi sasa mkuu,wewe na division one yako, unatupwa kokote tu, ili mradi umefikisha admission points kwa kozi husika kwa chuo husika!
 
Aisee we kijana jipange sana na fikiria angalau mara mbili kabla hujaandika kitu unachjua kitasomwa na watu wenye akili zao......:smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling:
 
Unaweza kuponda vyuo vikuu fulani, lakini wewe umesomea chuo kipi kati ya hivyo? Nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu!
 
Kaka au Dada uliyeandika haya,kwanza
inaonekana elimu haijakusaidia kuweza kupambanua mambo na hii inathibitisha ukata wa Chuo chako usachosoma.Kumbuka kabla ya kutoa maelezo kama haya ni vema ukafanya utafiti wa kina kabla kuhusu suala hili.Usiwe na akili za mgando kiasi hicho jaribu kutumia vema elimu uliyonayo.
 
Toka uingie Dar kwa mara ya kwanza basi ukajua chuo ni UDSM tu, kuwa makini na maoni yako dogo
 
Chuo cha kata maana yake nini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 


mwambie huyo MBULULA
 
Hamna chuo bora kuna mwanafunzi bora, naona bado una spirity ya UKILAZA kwa kuvigawa vyuo katika makundi unayojua wewe bila kuweka wazi vigezo ulivyotumia kufanya hivyo, kwa kujifanya mjuaji
kila mwanachuo ni bora
 

Wenzako wana vya KATA wewe hata cha MTAA HUNA!
 
ebwana ume chemka kijana jipange, njoo mtaani na hiyo degree yako ya chuo bora uone cha moto
na hata ukisoma harvard utakuwa kilaza tu kwa sababu una akili fupi,tuna angalia uwezo wa mwanafunzi na wala hatuangalii chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…