Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kufananisha Kondoo na Mbuzi hata kama wote ni wanyama wanaocheua; Umejiuliza maswali ya msingi kwamba vyuo hutofautiana kwa courses. Kwa mfano SUA ni cha kilimo utalinganishaje na UDSM, MUHAS ni cha afya unalinganishaje na IFM? Acha kulinganisha aliyevaa kaputura na mwingine suti yupi amependeza bila kuangalia mazingira gani? Hujui ukivaa suti shambani kila mtu atakushangaa hata kama utakuwa mahili kwa kulima.
Waliopita UDSM baada ya uhuru mpaka leo ndiyo wameifisadi nchi yetu.
nani asiyejua st augustine chuo cha kata? vyeti vyao vinaishia kanda ya ziwa tu.jiheshimu wewe!!! st. augustine ipi unayoizungumzia!???
nani asiyejua st augustine chuo cha kata? vyeti vyao vinaishia kanda ya ziwa tu.
ubora wako unaupima kwa kitu gani? je unawajua vyema graduates wa IFM?
wewe najua bado boom liko sasa jishaue kununua hutu tu vocha twa MB uishiwe mapema uone kama hukula nyasi
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
Thread yako inasema top ten ya vyuo vya kata, lakini umetaja vyuo vitano ambavyo kwako ni bora na vitano vingine ambavyo wewe unaviita ni vya kata, sasa nashndwa kukuelewa mtoa maada hvi top ten viko wapi sasa?