Mkuu samahani sana naamin kuuliza si ujinga bali kutaka kujua , hivi 'SOKO LA AJIRA' lipo sehemu gan ?au kama utaweza nifafanulia maana yake kiundani ntashukuru kwa ilo pia.vyuo ni bora je wewe unauzika kwenye soka la ajira kwa kusoma vyuo bora ulivyovitaja?