Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

Hii dhambi ambayo umeitenda kwenye jimbo lako umeshaitubu kwa wananchi wako?View attachment 1639057View attachment 1639062View attachment 1639063
Hizi zilikuwa fitina za viongozi wenu, walitaka walete taharuki kwenye uchaguzi walijua haeatashinda

Wakajitengenezea Kura bandia kukoleza Moto wa kile walichokuwa wamekilenga (mandamano nchi nzima kupinga matokeo hata kabla ya kupiga Kura)

Asante Mungu Kwa kuwaumbua hawa wasiokuwa na huruma na maisha ya Watanzania, na ombi la masikini na walemavu, wazee na watoto Kwa Mungu wa mbingu na nchi, ambao ndio wangeathirika na mpango wenu huo muovu, mpigwe na mpotee na Chama lenu lipotelee hukohuko kuzimu

Mungu ibariki Tanzania
 
Maneno ya mfa maji. Ya mtu mbinafsi na anayejihisi kuwa anaonewa.
 
Asante Halima kwa neno na hekima yako. Nimependa trik yako ccm wameingia king.
 
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni chadema walichapisha kura fake kwa nini hawajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
 
Mbona unaweweseka
 
Halima aache kutumia vitabu vya dini kuhalalisha ujinga wake

Mbona iko simpo omba radhi ufikiriwe achana na akina ndugai utatumika Kama bigijii
 
Mdee kumbe "ameokoka?"
Mdee amempa Yesu maisha yake!
Mdee si "mzee" kama alivyobatizwa!
Mdee si "msagaji " kama alivyosingiziwa!
Mdee anatambua Kuwa kafunzwa siasa na "Mbowe" na kwamba "milele daima" atakuwa mtiifu kwa Mbowe!
Mdee wa kuongea kwa unyenyekevu namna anavyomtambua Mbowe
Mdee hajaomba radhi waTanzania, maana juzi Ndugai akimnanga Mbowe basi angeonyedh masikitiko
 
Mdee anatakiwa kusema na kuweka Wazi namna mchakato mzima ulivyokuwa mpaka wao wakapendekezwa na Chama kuwa wabunge na nani alipeleka majina yao Tume full stop.
wakisema watakipasua chama, leo angesema mnyika ndio aliepeleka fomu tume si hali ya hewa ingechafuka
 
Wenye mapenzi mema na CDM watasoma Zabuir 109
 
Pengine nawe ni miongoni mwao mkuu...
Hapana. Mimi nawasapport.Ninachowapinga ni wao kwenda bungeni bila idhini ta chama chao. Ingawa mimi nilipenda Chadema waende bungeni.
 
Kama elimu yako inakufanya uwe mlamba kalio,then endelea kupambania kombe.
 
Sawa ukisemacho, lakini hao Chadema walizikamata Kwa Nani hizo kura mkuu

Ni walimtaja Nani waliyemkuta nazo?
 
Yaani hizi siku 2 tu baada ya kuhamia huko kwa MATAGA tayari Halima ameshakua rafiki wa Gwajiboy?Maana hio mistari ya dini dizaini kama vile kapewa na Gwajiuno akaisome kwny Press.
 
sisi wanachama tuko tayari kwa lolote.

Hii press ya mdee imedhihirisha ni kweli wamenunuliwa na mataga ndiyo maana ameishia kuruka-ruka.
sawa, wanachama mko tayari kwa lolote, je, viongozi wenu wako tayari kwa lolote? hivi kweli Salim Mwalim alikuwa hajui mke wake Esther Matiko anaenda kuapishwa? kwenye lile kundi la akina mdee kuna wajumbe wa kamati kuu wana uhusiano wa karibu, usijidanganye walikuwa hawajui kinachoendelea......wakina halima watasamehewa na wataendelea na ubunge wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…