Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Ukiona hivyo walilambishwa check dili likabuma mpunga ukapigwa ban kwenye account.Ukiunga juhudi kwa mkopo imekula kwako.Kuvuta kavuta sema amesanda njiani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo walilambishwa check dili likabuma mpunga ukapigwa ban kwenye account.Ukiunga juhudi kwa mkopo imekula kwako.Kuvuta kavuta sema amesanda njiani
Aisee, Halima anataka kumzidi kete askofu rashidi kwenye fani?ZABURI 35
Kuomba msaada
(Zaburi ya Daudi)
1 Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga;
uwashambulie hao wanaonishambulia.
2 Utwae ngao yako na kingio lako,
uinuke uje ukanisaidie!
3 Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia.
Niambie mimi kwamba utaniokoa.
4 Waone haya na kuaibika,
hao wanaoyanyemelea maisha yangu!
Warudishwe nyuma kwa aibu,
hao wanaozua mabaya dhidi yangu.
5 Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo,
wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
6 Njia yao iwe ya giza na utelezi,
wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
7 Maana walinitegea mitego bila sababu;
walinichimbia shimo bila kisa chochote.
8 Maangamizi yawapate wao kwa ghafla,
wanaswe katika mtego wao wenyewe,
watumbukie humo na kuangamia!
9 Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu;
nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.
10 Nitamwambia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote:
“Wewe ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe!
Wewe wawaokoa wanyonge makuchani mwa wenye nguvu,
maskini na fukara mikononi mwa wanyanganyi.
11 Mashahidi wakorofi wanajitokeza;
wananiuliza mambo nisiyoyajua.
12 Wananilipa mema yangu kwa mabaya;
nami binafsi nimebaki katika ukiwa.
13 Lakini wao walipokuwa wagonjwa,
mimi nilivaa magunia kuonesha huzuni;
nilijitesa kwa kujinyima chakula.
Nilisali nikiwa nimeinamisha kichwa,
14 kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu.
Nilikwenda huko na huko kwa huzuni,
kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake.
15 Lakini mimi nilipoanguka walikusanyika kunisimanga.
Walikusanyika pamoja dhidi yangu.
Watu nisiowajua walinirarua bila kukoma,
wala hakuna aliyewazuia.
16 Watu ambao huwadhihaki vilema,
walinisagia meno yao kwa chuki.
17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini?
Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao;
uyaokoe maisha yangu na simba hao.
18 Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu;
nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu.
19 Usiwaache maadui hao wabaya wanisimange,
hao wanichukiao bure wafurahie mateso yangu.
20 Maneno wasemayo si ya amani,
wanazua maneno ya hila dhidi ya wananchi watulivu.
21 Wananishtaki kwa sauti:
“Haya! Haya! Tumeona wenyewe uliyotenda!”
22 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo,
usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu,
usikae mbali nami.
23 Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukanitetee;
uje, ee Mungu wangu, uangalie kisa changu.
24 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee,
ufanye kulingana na uadilifu wako;
usiwaache maadui zangu wanisimange.
25 Usiwaache wajisemee: “Tumefanikiwa tulivyotaka!”
Au waseme: “Tumemmaliza huyu!”
26 Waache hao wanaofurahia maafa yangu,
washindwe wote na kufedheheka.
Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi,
waone haya na kuaibika.
27 Lakini wanaotaka kuona kuwa sina hatia,
wapaaze sauti kwa furaha waseme daima:
“Mwenyezi-Mungu ni mkuu mno!
Hupendezwa na fanaka ya mtumishi wake.”
28 Hapo nami nitatangaza uadilifu wako;
nitasema sifa zako mchana kutwa.
Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki -1995, 2001: kwa Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.
ZABURI 35

Wengi walipigwa puUkiona hivyo walilambishwa check dili likabuma mpunga ukapigwa ban kwenye account.Ukiunga juhudi kwa mkopo imekula kwako.
Kuna mmoja alikuwa akilalamika wanataka kumtaifishia vitu vyake nadhani aliiunga kwa mkopo na ahadi haikutimiaWengi walipigwa pu
CCM haina rafiki wa kudumuKuna mmoja alikuwa akilalamika wanataka kumtaifishia vitu vyake nadhani aliiunga kwa mkopo na ahadi haikutimia
Ukifanya biashara na jamaa ya kulamba ya kodi zetu mmalizane kabisa. Nje ya hapo utaharibikiwa nyuma na mbele kote unaitwa msaliti.CCM haina rafiki wa kudumu
Shida tupu mkuuUkifanya biashara na jamaa ya kulamba ya kodi zetu mmalizane kabisa. Nje ya hapo utaharibikiwa nyuma na mbele kote unaitwa msaliti.
But imeshindwa kumsaidia kuuwa upinzani.Kodi zetu zinazochezewa kupambana na upinzani si zingetumika hata kuboresha kilimo tungekuwa mbali Sana.Shida tupu mkuu
Akumbuke kuwa Mume wa Bulaya nae anaisali sana hii zaburi🤣Zaburi 35 ni sala, sala ya kuomba wabaya wako wapate adhabu kutokana na maovu waliokutendea, ni sala ya kukwepa saaana kuisali. Mkristu mzuri kawaida unaomba mbaya abadilike awe mzuri, mcha Mungu. Always avoid this prayer( Psalms 35!!!
Lengo siyo kuleta maendeleo ni CCM iwepo madarakaniBut imeshindwa kumsaidia kuuwa upinzani.Kodi zetu zinazochezewa kupambana na upinzani si zingetumika hata kuboresha kilimo tungekuwa mbali Sana.
Maana zaidi ya kuukimbiza upepo hakuna mafanikio yeyeto waliyopata tangu waanze kupambana na upinzani.leo ushindi wa kishindo umegeuka shubiri kwao.Walishindwa kuelewa bila chadema bungeni beberu atoi pesa, wamekumbuka shuka.
Thus uleta umasikini nchini kimakusudi Ili waweze kuwatawala watz.Mtu akiwa masikini hawezi fikiria zaidi ya tumbo.Lengo siyo kuleta maendeleo ni CCM iwepo madarakani
Ametumia mistari ya biblia kutusukumia laana sisi wajumbe hapa jf na viongozi wa chama chake tusiokubaliana michezo yao.ZABURI 35