Hii ndoa ya Azam Companies na TFF ni jjipu

Hii ndoa ya Azam Companies na TFF ni jjipu

Unalazimisha tujadili kadi ya Banda wakati mimi najadili makosa ya waamuzi kutoa mazingira rafiki kwa timu kadhaa huku yakiwa shubiri kwa nyingine, si mara moja si mara mbili.

Tuache kadi vipi kuhusu bao halali kuwa haramu?

Kama wewe huwezi kutenganisha mahaba na objectivity wengine wanajitahidi kufanya hivyo. Tangu ulipojichanganya kwenye issue ya Niyonzima na Tiboroha kutokana na kubadilikabadilika kwa misimamo yako, sijawahi kukuamini tena.
Pole sana, suala hapa ni TFF na uvurugaji ratiba. Kwa heri
 
...kama Magufuli kazifungia akaunti za TFF mnategemea nini?!
 
Mh! Huu ushabiki sasa umezidi kikomo. Sasa ulitaka nani awe mdhamini. Na kuna sheria ipi imekiukwa?
 
Back
Top Bottom