Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Pole sana, suala hapa ni TFF na uvurugaji ratiba. Kwa heriUnalazimisha tujadili kadi ya Banda wakati mimi najadili makosa ya waamuzi kutoa mazingira rafiki kwa timu kadhaa huku yakiwa shubiri kwa nyingine, si mara moja si mara mbili.
Tuache kadi vipi kuhusu bao halali kuwa haramu?
Kama wewe huwezi kutenganisha mahaba na objectivity wengine wanajitahidi kufanya hivyo. Tangu ulipojichanganya kwenye issue ya Niyonzima na Tiboroha kutokana na kubadilikabadilika kwa misimamo yako, sijawahi kukuamini tena.