MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee.
Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu.
Kulikuwa na abiria wanne wakigeni wakasema huko wanakotoka yaani Ulaya hawajawahi kusikia ngoma kali kama hii.
Dereva naye mara aachie usukani aanze kucheza, mara arukeruke kwenye kiti, mara atingishe kichwa, ilimradi balaa.
Oya wadau hii ngoma naona inaleta Grammy nyumbani kabisa. Wakina Burnaboy na Wizkid wajipange sana mwaka huu.