Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee.
Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu.

Kulikuwa na abiria wanne wakigeni wakasema huko wanakotoka yaani Ulaya hawajawahi kusikia ngoma kali kama hii.

Dereva naye mara aachie usukani aanze kucheza, mara arukeruke kwenye kiti, mara atingishe kichwa, ilimradi balaa.

Oya wadau hii ngoma naona inaleta Grammy nyumbani kabisa. Wakina Burnaboy na Wizkid wajipange sana mwaka huu.
Acha maneno, weka muziki tuusikie ndiposa tuchangie.
 
Kwenye dereva kuachia mikono hapo

Umenikumbusha nyimbo Moja hivi ya darasa naisahau jina ,njia ya singida dodoma dereva nusu aue abiria

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee.
Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu.

Kulikuwa na abiria wanne wakigeni wakasema huko wanakotoka yaani Ulaya hawajawahi kusikia ngoma kali kama hii.

Dereva naye mara aachie usukani aanze kucheza, mara arukeruke kwenye kiti, mara atingishe kichwa, ilimradi balaa.

Oya wadau hii ngoma naona inaleta Grammy nyumbani kabisa. Wakina Burnaboy na Wizkid wajipange sana mwaka huu.
Haya kajala tumekusikia
 
Jeshi ni noma,ni fundi ukweli usemwe tu, tatizo lake ni moja tu Mapenzi yanampeleka puta alialia sana yaani
 
Back
Top Bottom