Hii nguvu ya kisiasa na ushawiahi mkubwa wa John Heche imetokea wapi muda mfupi?

Karibu sana kwenye kisiwa Cha watu wanatumia ubongo
Huko kwenye UCHAWA ulikuwa umepotea sana
 
Mungu ametuletea hawa watu ,kwa makusudi ili nchi ipone na majeraha ya miaka mingi, misimamo yao haiyumbishwi na mtu yeyote hata aje na vitisho vya namna gani
 
Lugha nyepesi inayoeleweka kwa vijana wengi ndio kinacholeta ushawishi, ukiongezea na CCM ilivyochokwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…