Hii ni aibu: CECAFA yatoa Waamuzi 11 AFCON. Hakuna Mwamuzi kutoka Tanzania

Bora kwa sababu waamuzi wa kitanzania ni wabovu na watachezesha mpira kishabiki,kuna kipindi Simba sc na yanga wakicheza final ya ngao ya jamii..kuna yule mama aliibeba yanga mpaka aibu..ndio maana yanga pamoja na kuchikua ubingwa ligi kuu...kipindi fulani lakini kimataifa ni wabovu sana...waamuzi makanjanja utuletea timu kanja nja ligi kuu
 
Waamuzi wetu ndio hawa
Screenshot_20240101_141927.JPG
 
Bora kwa sababu waamuzi wa kitanzania ni wabovu na watachezesha mpira kishabiki,kuna kipindi Simba sc na yanga wakicheza final ya ngao ya jamii..kuna yule mama aliibeba yanga mpaka aibu..ndio maana yanga pamoja na kuchikua ubingwa ligi kuu...kipindi fulani lakini kimataifa ni wabovu sana...waamuzi makanjanja utuletea timu kanja nja ligi kuu
Unasemea Tatu malogo aliyewapa Simba point za bure kwa sasa wangekuwa nafasi ya 4 kwenye ligi
 
Kwahiyo simba hajawahi kubebwa na akachukua ubingwa na kimataifa akafanya vizuri?
Bora kwa sababu waamuzi wa kitanzania ni wabovu na watachezesha mpira kishabiki,kuna kipindi Simba sc na yanga wakicheza final ya ngao ya jamii..kuna yule mama aliibeba yanga mpaka aibu..ndio maana yanga pamoja na kuchikua ubingwa ligi kuu...kipindi fulani lakini kimataifa ni wabovu sana...waamuzi makanjanja utuletea timu kanja nja ligi kuu
 
Professionalism bongo hakuna kwenye kila sekta,
Unakuta mwanasiasa anamwambia daktari namna ya kumtibu mgonjwa...
Tuwaache marefa wale kwa kamba zao
 
Kwahiyo simba hajawahi kubebwa na akachukua ubingwa na kimataifa akafanya vizuri?
Usijaribu tena kufananisha waamuzi wa CUF na FIFA,kwa kufananisha na hizi takataka zinazochezesha NBC..hizi ni uchafu ndio maana wameachwa na SECAFA
 
Back
Top Bottom