Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

Wanajua sisi ni maiti so they don't care,hata tukifa Kama kuku hakuna tutachofanya,wewe huoni humu jamvini nyuzi zinavyopishana watu wakisifu strategy ya tufunge na kuomba za bwana Magufuli? Nchi hii ni nzuri Ila haina raia bali Ina watu wengi sana but raia wachache so one cares

Come again please i.e tufafanulie zaidi inamaanisha nini?
 
heradius12
Mkuu mawazo yako si mabaya ila hayana mashiko.

Msaada kila nchi imepewa,hata marekani.

Ukisoma sana kuna sera ilianzishwa na central bank,kuhusu hawa matajiri wana hodhi fedha nyingi.
Kwa wachumi wenzangu tunafahm kitu hiki.

Lakini pia ni sera mmoja wapo ya uchina kusambaza ideology yake kwa mataifa mengine.
Imagine donation imetolewa kwa takriban nchi zote za africa.

Si kulalamikia mkuu juu ya tz.

Tanzania ni nchi mmoja wapo maskin kiakili kama zingine africa.
Maskin kiakil kwasababu,hatuna akili yakuzitumia resources zilizopo kutupa utajiri..
Jamani muwe mnasoma na kuelewa,jamaa hapingi wa kukataa Tanzania kupewa msaada Ila anachoshangaa ni kwamba sisi Dona country tumefanya nini na mapesa yetu? Timenunua vipimo vingapi na vifaa vya kujikinga?
 
Back
Top Bottom