heradius12
Mkuu mawazo yako si mabaya ila hayana mashiko.
Msaada kila nchi imepewa,hata marekani.
Ukisoma sana kuna sera ilianzishwa na central bank,kuhusu hawa matajiri wana hodhi fedha nyingi.
Kwa wachumi wenzangu tunafahm kitu hiki.
Lakini pia ni sera mmoja wapo ya uchina kusambaza ideology yake kwa mataifa mengine.
Imagine donation imetolewa kwa takriban nchi zote za africa.
Si kulalamikia mkuu juu ya tz.
Tanzania ni nchi mmoja wapo maskin kiakili kama zingine africa.
Maskin kiakil kwasababu,hatuna akili yakuzitumia resources zilizopo kutupa utajiri..