Ulitaka achangie shilingi ngapi huyo wang ili usifiche aibu...wewe umeshawahi kuchangia shilingi ngapi kwa maendeleo ya taifa...nikikupatia shilingi 50,000 Kama mchango want kwako wa harusi utakataa?!Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Unaweza kuwa na hoja , lakini usisahau huu ni msaada siyo mkopo ila msaada. Kikubwa zaidi ni masharti ya huo msaada, ambao mimi nina imani na Serikali ya JPM haipokei misaada ya masharti ya hovyo. Hivyo ni sawa kuupokea msaada huo ili utusaidie kwenda mbele. Huo unaweza kuwa msaada wa Fedha lakini kukawa na msaada ya kiufundi (technical assistance) ukafuata.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.