Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

Tatizo labda Ni kwa Nini Chato na siyo Butiama kwa Nyerere
 
Hao wafanyabiashara wa katoro na chato majuzi walikuwa wanalia na TRA kuhusu kodi za ajabu ajabu
 
Nilivyomsikiliza waziri Wang Yi ktk hotuba yake alisema...."Ninachangia" hakusema serikali ya watu wa China inachangia. Hivyo huu mchango ni wa mtu binafsi yeye kama yeye. Na si vinginevyo. Kwa mtu binafsi kutoa hizo millioni kadhaa si jambo baya. Ilikuwa ni shukurani baada ya jengo kupewa jina lake binafsi.
 
Hizi nchi za afrika huenda ndipo makao makuu ya shetani yalipo hivi inawezekanaje tushangilie msaada wa 300 mil. na akati kuna DED wa maeneo ya huko amenunua gari la mil. 400+? kama mtu katoka China maelfu ya maili kaliona tatizo chato na kutoa msaada lakini jicho la DED likaona V8 lipo japan maelfu ya maili upuuzi mtupu.
 
Ulitaka achangie shilingi ngapi huyo wang ili usifiche aibu...wewe umeshawahi kuchangia shilingi ngapi kwa maendeleo ya taifa...nikikupatia shilingi 50,000 Kama mchango want kwako wa harusi utakataa?!
 
Unaweza kuwa na hoja , lakini usisahau huu ni msaada siyo mkopo ila msaada. Kikubwa zaidi ni masharti ya huo msaada, ambao mimi nina imani na Serikali ya JPM haipokei misaada ya masharti ya hovyo. Hivyo ni sawa kuupokea msaada huo ili utusaidie kwenda mbele. Huo unaweza kuwa msaada wa Fedha lakini kukawa na msaada ya kiufundi (technical assistance) ukafuata.
 
Warogwe wajitokeze eti wanachangia m380, watakamuliwa na kila idara ya serikali TRA, halmashauri, NEMC, sijui watafungiwa account kwa uchunguzi, na kutaifishiwa $$ kimasihara!

Tupokee tu vya wageni wanakubalika wao kuwa na fedha halali siyo wazawa.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…