Hii ni aibu UDOM

Hii ni aibu UDOM

pole sana mdau, ratiba huletewi bali unatafuta, zinduka mkuu!!
 
Awawiz kuwa na akili ndogo hvyo' jaman nkskia jna udom roho inauma...kupenda kubaya sana.
 
Issue ni ratiba kamili au kufundishwa? Wenzako wale kule wanaifuata hiyo hiyo local arangement na wanaelewa kama kawa, we subiri tu ratiba kamili kwenu.
Atakuwa Open Udom huyu c bure!
 
imejengwa msimu wa shule za ndo maana mambo yao hayaelewek ka shule za kata
 
Mtoa hoja yupo mwaka wa ngapi? Mbona kuna dogo kanambia alianza masomo tangu 22/10/2012 na yupo hapo hapo UDOM? Nadhani huyu mshkaji ni "fomu wani wa university".
 
Ukiona vp, bse huyo udom wenu haileki, inawezekanaje chuo kifungue bila tymtable? Nasikia hata walimu n matatzo is it?
 
Msifanyie mzaha, huyo aliyezungumzia suala la ratiba hatanii huyo jamani, wiki mbili zilizopita wafanyakazi wenzetu ambao ni walimu walimlalamikia DVC-ARC, hakuna ratiba inayoeleweka. akaahidi kufanyia kazi, iliyopo inachanganya sana, inagonganisha vipindi kwenye darasa moja kwa wakati mmoja. Ukweli mtaalamu aliyekuwa amebobea kwenye masuala ya ratiba alifariki siku za karibuni. UDOM nzima tunalitambua hilo R.I.P
 
Back
Top Bottom