Msifanyie mzaha, huyo aliyezungumzia suala la ratiba hatanii huyo jamani, wiki mbili zilizopita wafanyakazi wenzetu ambao ni walimu walimlalamikia DVC-ARC, hakuna ratiba inayoeleweka. akaahidi kufanyia kazi, iliyopo inachanganya sana, inagonganisha vipindi kwenye darasa moja kwa wakati mmoja. Ukweli mtaalamu aliyekuwa amebobea kwenye masuala ya ratiba alifariki siku za karibuni. UDOM nzima tunalitambua hilo R.I.P