Hii ni Aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano.

Nyani wa Somanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2026
Posts
415
Reaction score
573
Kumekucha wazee?

Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25.

Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?,

Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na kubaki mtupu na makwinyazi yako hayo yaliyojaa mpaka kwenye hicho Kiguzi!?, kwa nini usitafute rika lako?,

Pesa yako isikufanye upate aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano Mzee.
 
Pole bwashee kuchapiwa ni kawaida vumilia
20260531_005408.jpg
 
Kumekucha wazee?

Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25.

Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?,

Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na kubaki mtupu na makwinyazi yako hayo yaliyojaa mpaka kwenye hicho Kiguzi!?, kwa nini usitafute rika lako?,

Pesa yako isikufanye upate aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano Mzee.

Tafuta pesa acha kelele....
Mwanamke mwenye zaidi ya miaka 25 hana rika; rika anachukua la mwanamme....
That is nature.......hayo mengine ni mtazamo wako binafsi.....
 
Umechapiwa sio? Kuwa mpole ndio ligi zilivyo. Vumilia azawaizi nenda kijijini nawe tafuta mnyonge mgongee
 
Back
Top Bottom