Hii ni apartment hipo china unaweza kuishi

Kuna video niliona kuhusu hii apartment alooh ni kudunchu huku ndan watu wanaishi kama wafungwa yaan vitu vimebebanishwa huko ndan Kila chumba wanaishi kama wapo store
 
Sasa hao wa juu kabisa, inakuaje kuhusu mahitaji ya kila siku? Au maduka pia yako huko juu?.
Hatariiii hiii.
 
Hicho ni kijiji kabisa,hata hizo lift naona ziko busy balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…