Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

Unaposikia njaa muda wowote unakula unacho stahili acha kutuletea ujuaji wako wa hivyo hovyo 😁😁😁😁
 
Mkuu unakula maharage asubuh tena mengi kiasi hicho, ushauri wangu hapo ondoa hiyo juis na hilo ndondo badala yake weka chai tangawizi na mchaichai yenye sukari kidogo sana. Halafu hayo mandondo yatafune mchana kwa dona na kipande cha parachichi.
 
Broo maharage ni maramu hasa ikiwa za kijani zile
 
Which is which... tukusikilize wewe au tumsikilize Janabi[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…