Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Poleni UVCCM..Poleni sana!
Poleni LMB7...Poleni sana!
Poleni MATAGA ...Poleni sana!
Poleni CHAWA wote...Poleni sana!

Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho..hakuna CCM nyingine baada ya hii..!
Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa Tanzania..hapa hata CCM ya Mzee mwinyi rais wa pili wa Tanzania iko bado kwenye kundi hili la CCM toleo la kwanza
Toleo la pili lilikuwa CCM maslahi.. Waasisi wa hili kundi ni marais Benjamin mkapa marehemu na Jakaya Kikwete mstaafu..hapa kigezo kikubwa ni mali, kipato na madaraka...hapa ndio vijana wa UVCCM maarufu kama LMB7 sana walipata umaarufu na nguvu kubwa..kwakuwa CCM maslahi waliwatumia vilivyo
Toleo la tatu ni CCM makinikia.. Muasisi wake akiwa ni marehemu John Pombe Magufuli..hawa walichujwa toka CCM asili na CCM maslahi, kisha akachanganya na wahamiaji wa kutosha sana!
Toleo la NNE ni CCM toleo la mwisho..ni CCM inayomezwa na wahamiaji wa kutosha na wasio na background na chama..!

Simlaumu Mama Samia kwa hatua hii...CCM aliyorithi toka kwa mwanakwenda ilijaa chawa, wanafiki, watengeneza hujuma na kundi maarufu la MATAGA chini ya mwamvuli wa UVCCM/LMB7
Hawa hawakuridhishwa na siasa za maridhiano za mama
Hawa hawakufurahishwa kabisa na hatua alizochukua mama kuwapeleka kizimbani makada maarufu wavunja sheria, haki za binadamu, waporaji na wala rushwa
Hawa daily kwenye makundi yao, mitandaoni na kwenye vikao vyao hawakukoma kumkosoa bimkubwa na kumsema vibaya
Walichokisahau ni kimoja tuu kwamba wao wameshika makali na bimkubwa kashika mpini
Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7..Ni kilio huko kwao... Ni msiba usio na matanga...wamenuna na kukunja sura...!!!
Hawaamini mama alichowafanyia!!!

Na hii ndio CCM toleo la mwisho..Baada ya hii hakuna CCM tena!
Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Chadema ndo wamekuwa wapiga shangwe kwa mama huku wakisema CCM inakufa lakini nikiri wazi kuwa kweli CCM wasipojiangalia wataanza kuzomewa tena mitaani wakivaa nguo zao.
 
Mama hagombei kwa legacy yake...kitawekwa chuma ambacho bila shaka bavicha hamtakipenda, mama akigombea hata mie simpigii kura, wala sitapiga kura ya urais akigombea..
Atawekwa hussein mwinyi au chuma majaliwa
 
Sasa Chadema ndo wamekuwa wapiga shangwe kwa mama huku wakisema CCM inakufa lakini nikiri wazi kuwa kweli CCM wasipojiangalia wataanza kuzomewa tena mitaani wakivaa nguo zao.
Inachekesha sana...
 
Samia amekuja kuipaisha CCM kuliko Mwenyekiti yeyote tokea kiasisiwe, tunachosema aweke Tume HURU na wala asiogope ili arudishe Legitimacy ya Utawala wake.

Wapinzani tutarudisha Majimbo yetu na kuongeza labda kiduchu ila Mama ataongoza kwa Raha Mustarehe
Hahahaaa,kwa wema gani mlio nao
 
Mpaka sasa hakuna upinzani unaoweza kuitoa CCM madarakani. Haupo.

20210618_054938.jpg

20210526_175420.jpg
 
Nilichogundua kuna watu wanaumia, ila wanajifanya wako ngangari na kuwatupia mizigo ya maumivu wengine. Hawapendi kumuona mtu katoka kwao kisha anahamia upande mwingine na anakula shavu. Wanaanza kuwacheka waliokosa ili ionekane wao ni fungu la kukosa ili wanune wote.
Ukweli ni kua ndani ya chama tawala kuna fursa, watu wanatafutia majina upinzani kisha wanaenda kula vizuri kwenye chama tawala. Hiki kitendo kinawaumiza sana upinzani, wanakosa dira, mara wacheke mara wanune. Siasa ni ngumu kuliko physics.
 
Huyu Mama atapigwa uchaguzi asubuhi na mapema sana mwaka 2025 sio kwa chuki au kufanya vibaya Bali kwa falsafa ya mwanadamu ya ccm kuchokwa kama chama cha siasa chakavu zaidi Tanzania na Africa

Atashindwa uchaguzi asubuhi na mapema sana kwa jinsi anavyoenda ni kitu kimoja tu kinaenda kumuangusha nacho ni katiba mpya.

Ogopa sana zimwi na kuchakachua uchaguzi mwaka Jana hili zimwi ni hatari sana ndani ya watu uchaguzi ule uliacha makovu mengi na mama anajua Magufuli hakushinda na yeye yupo hapo kwa dhuruma ya utawala wa dicteta hakuna jambo kubwa kama Katiba na tume huru ya uchaguzi atalifanya na kufanikiwa kila akitaka kufanya maccm yatamwambia sisi ndio tumekuweka hapo tunataka ufanye ili na ili usifanye.

Atashutuka muda unaisha na hakuna atakachokifanya by 2025 hapo ndio upepo wa siasa za Tanzania utakapobadilika maana kutakuwa hakuna tena watu kutekwa kuchezea uchaguzi na watanzania watakuwa hawana cha kupoteza maana tatizo la Ajira mifumo ya elimu na mateso mengine ya kukatika kwa umeme na maji watakuwa na hasira navyo hivyo mambo yatakuwa magumu kwa mama na automatic kwa ccm.
Kama vyombo vya Ulinzi na Usalama vinamkubali atapeta tu! Rais wa Tanzania kwa sasa hachaguliwi na wapiga kura kwenye Sanduku la Kura.Hapa ndipo penye shida kwa nchi yetu.
 
Samia amekuja kuipaisha CCM kuliko Mwenyekiti yeyote tokea kiasisiwe, tunachosema aweke Tume HURU na wala asiogope ili arudishe Legitimacy ya Utawala wake.

Wapinzani tutarudisha Majimbo yetu na kuongeza labda kiduchu ila Mama ataongoza kwa Raha Mustarehe
Hii comment yako ihifadhiwe.

Ukweli unaokuja ndio huu
 
Uko uvccm nini mbona povu jingi , sio kwli kua mnalia , wengi wenu mlikua mnasubiria teuzi , mnaumia kuona wahamiaji na waandishi wa habari ndio wanaonekana
Sijawahi and sitegemei. Ila mnsikitisha mnavotumia nguvu kuwananga UVCCM wakati karibia 95/% ya wateule ni vijana ambao obviously ni UVCCM
 
Nilichogundua kuna watu wanaumia, ila wanajifanya wako ngangari na kuwatupia mizigo ya maumivu wengine. Hawapendi kumuona mtu katoka kwao kisha anahamia upande mwingine na anakula shavu. Wanaanza kuwacheka waliokosa ili ionekane wao ni fungu la kukosa ili wanune wote.
Ukweli ni kua ndani ya chama tawala kuna fursa, watu wanatafutia majina upinzani kisha wanaenda kula vizuri kwenye chama tawala. Hiki kitendo kinawaumiza sana upinzani, wanakosa dira, mara wacheke mara wanune. Siasa ni ngumu kuliko physics.
Mshana Jr
 
Uteuzi wa Nassari,Lijuakali nk umewauma sana bavicha kwani unabii wenu hasi umeanguka.Kufa hamtakufa ila cha moto mtakiona
Poleni UVCCM, Poleni sana!
Poleni LMB7, Poleni sana!
Poleni MATAGA, Poleni sana!
Poleni CHAWA wote, Poleni sana!

Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa Tanzania..hapa hata CCM ya Mzee mwinyi rais wa pili wa Tanzania iko bado kwenye kundi hili la CCM toleo la kwanza

Toleo la pili lilikuwa CCM maslahi. Waasisi wa hili kundi ni marais Benjamin mkapa marehemu na Jakaya Kikwete mstaafu..hapa kigezo kikubwa ni mali, kipato na madaraka. Hapa ndio vijana wa UVCCM maarufu kama LMB7 sana walipata umaarufu na nguvu kubwa..kwakuwa CCM maslahi waliwatumia vilivyo.

Toleo la tatu ni CCM makinikia. Muasisi wake akiwa ni marehemu John Pombe Magufuli..hawa walichujwa toka CCM asili na CCM maslahi, kisha akachanganya na wahamiaji wa kutosha sana!

Toleo la NNE ni CCM toleo la mwisho; ni CCM inayomezwa na wahamiaji wa kutosha na wasio na background na chama!

Simlaumu Mama Samia kwa hatua hii. CCM aliyorithi toka kwa mwanakwenda ilijaa chawa, wanafiki, watengeneza hujuma na kundi maarufu la MATAGA chini ya mwamvuli wa UVCCM/LMB7.

Hawa hawakuridhishwa na siasa za maridhiano za mama. Hawa hawakufurahishwa kabisa na hatua alizochukua mama kuwapeleka kizimbani makada maarufu wavunja sheria, haki za binadamu, waporaji na wala rushwa.

Hawa daily kwenye makundi yao, mitandaoni na kwenye vikao vyao hawakukoma kumkosoa bimkubwa na kumsema vibaya
Walichokisahau ni kimoja tuu kwamba wao wameshika makali na bimkubwa kashika mpini.

Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7. Ni kilio huko kwao. Ni msiba usio na matanga, wamenuna na kukunja sura. Hawaamini mama alichowafanyia!

Na hii ndio CCM toleo la mwisho. Baada ya hii hakuna CCM tena!

Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mama atapigwa uchaguzi asubuhi na mapema sana mwaka 2025 sio kwa chuki au kufanya vibaya Bali kwa falsafa ya mwanadamu ya ccm kuchokwa kama chama cha siasa chakavu zaidi Tanzania na Africa

Atashindwa uchaguzi asubuhi na mapema sana kwa jinsi anavyoenda ni kitu kimoja tu kinaenda kumuangusha nacho ni katiba mpya.

Ogopa sana zimwi na kuchakachua uchaguzi mwaka Jana hili zimwi ni hatari sana ndani ya watu uchaguzi ule uliacha makovu mengi na mama anajua Magufuli hakushinda na yeye yupo hapo kwa dhuruma ya utawala wa dicteta hakuna jambo kubwa kama Katiba na tume huru ya uchaguzi atalifanya na kufanikiwa kila akitaka kufanya maccm yatamwambia sisi ndio tumekuweka hapo tunataka ufanye ili na ili usifanye.

Atashutuka muda unaisha na hakuna atakachokifanya by 2025 hapo ndio upepo wa siasa za Tanzania utakapobadilika maana kutakuwa hakuna tena watu kutekwa kuchezea uchaguzi na watanzania watakuwa hawana cha kupoteza maana tatizo la Ajira mifumo ya elimu na mateso mengine ya kukatika kwa umeme na maji watakuwa na hasira navyo hivyo mambo yatakuwa magumu kwa mama na automatic kwa ccm.
Ila mkuu Mimi Kuna Jambo sielewi kwamba nafasi za teuzi lazima ziwe based kwenye Chama ,au kuangalia uwezo wa mtu bila kujali anatoka wapi,

Binafsi siungi mkono teuzi za watu wasikua na uwezo Kama ambavyo naona teuzi za WAKUU wa WILAYA baadhi ila naunga mkono kwamba Chama chochote kiwapo madarakani basi teuzi sio lazima ziwe based kwa Chama atokacho bali uwezo
 
Poleni UVCCM, Poleni sana!
Poleni LMB7, Poleni sana!
Poleni MATAGA, Poleni sana!
Poleni CHAWA wote, Poleni sana!

Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa Tanzania..hapa hata CCM ya Mzee mwinyi rais wa pili wa Tanzania iko bado kwenye kundi hili la CCM toleo la kwanza

Toleo la pili lilikuwa CCM maslahi. Waasisi wa hili kundi ni marais Benjamin mkapa marehemu na Jakaya Kikwete mstaafu..hapa kigezo kikubwa ni mali, kipato na madaraka. Hapa ndio vijana wa UVCCM maarufu kama LMB7 sana walipata umaarufu na nguvu kubwa..kwakuwa CCM maslahi waliwatumia vilivyo.

Toleo la tatu ni CCM makinikia. Muasisi wake akiwa ni marehemu John Pombe Magufuli..hawa walichujwa toka CCM asili na CCM maslahi, kisha akachanganya na wahamiaji wa kutosha sana!

Toleo la NNE ni CCM toleo la mwisho; ni CCM inayomezwa na wahamiaji wa kutosha na wasio na background na chama!

Simlaumu Mama Samia kwa hatua hii. CCM aliyorithi toka kwa mwanakwenda ilijaa chawa, wanafiki, watengeneza hujuma na kundi maarufu la MATAGA chini ya mwamvuli wa UVCCM/LMB7.

Hawa hawakuridhishwa na siasa za maridhiano za mama. Hawa hawakufurahishwa kabisa na hatua alizochukua mama kuwapeleka kizimbani makada maarufu wavunja sheria, haki za binadamu, waporaji na wala rushwa.

Hawa daily kwenye makundi yao, mitandaoni na kwenye vikao vyao hawakukoma kumkosoa bimkubwa na kumsema vibaya
Walichokisahau ni kimoja tuu kwamba wao wameshika makali na bimkubwa kashika mpini.

Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7. Ni kilio huko kwao. Ni msiba usio na matanga, wamenuna na kukunja sura. Hawaamini mama alichowafanyia!

Na hii ndio CCM toleo la mwisho. Baada ya hii hakuna CCM tena!

Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp wewe hujapata teuzi?
 
Back
Top Bottom