Umemsahau Wakudadavuwa aka Kamanda Asiyechoka
Umemsahau Wakudadavuwa aka Kamanda Asiyechoka
na Mkorinto plus TrollJFUmemsahau Wakudadavuwa aka Kamanda Asiyechoka
Lisit ni ndefu
noma kweli !Hahahaaaa.... Mkeka chanikaaaa
**** mwingine ameona kama wanamcheka ameondoka kwenye group letu leo asubuhi. Hali ni mbaya sana.Aiseeee !!! unaambiwa wana left ma group yao kama nzige .
Hivi mtu mzima na akili zake anawezaje kusifu kazi ya mtu mwingine? Mtu mwenye akili timamu anapongeza siyo kusifu. Mtu anayesifu ni mnafiki, mbinafsi, mnaa, chawa na asiyejiamini.Hao unaowaita wenye akili, hawajafika hata asilimia moja ya wateule wote,
Acheni kujifariji nyie watu wa cdm, ukweli ni kwamba ambao walihamia ccm miaka ya karibuni hawakuwa wapinzani halisi Bali. Walikuwa na mtazamo tofauti na ya kwenu ya kupinga maendeleo makubwa aliyokuwa anayafanya JPM, MTU alikuwa akisifu kazi kubwa ya JPM nyie mnaamua kumtoa mnaanza kusema ni msaliti, yes
Wacha watu wapate kile wanachotaka, wenye itikadi za kudai ushoga badala ya maendeleo ya wananchi mtaendelea kuzarau Lumumba, au Mataga, hao wote ni matokeo ya MATAGA,
Achen wivu nani aliyesema ccm ni mali ya mtu , hakuna ccm asili wala maknikia hao asili wamelifikisha taifa wapi zaidi ya wizi wa mali za umma acheni watu wafanye kazi hakuna mwenye hati miliki wa nchi kwa kigezo za chama kila mwenye sifa ya kuwa kiongozi ana haki ya kufanya kazi na kuwa kiongozi bila kujali ametoka chama gani
Thubutu !we mzee niliishakwambia uchawi huwezi acha.umezaliwa kuwa mlozi.
kuamini nasari,mashinji,lijualikali wametoka nje ya ccm si tu ni upuuzi,ni kutomjua adui mnayepigana naye vyema.
endeleeni kuwakagua wanachama wenu walio mstari wa mbele mtagundua wote ni ccm.
shauri yako sasa.Thubutu !
endelea kujifariji , mataga uliyetoswa we !shauri yako sasa.
nimetoswa na nani??endelea kujifariji , mataga uliyetoswa we !
Kaa ukielewa kwa Sasa upinzani wa CCM itatoka kwa CCM wenyewe,yatatokea Kama yaliyomkuta Raisi wa Malawi Joyce Banda.Mpaka sasa hakuna upinzani unaoweza kuitoa CCM madarakani. Haupo.