Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Naona wengi bado ni wageni katika mikakati ya CCM ndio maana wanabeza lakini wangejua aina ya hesabu za kisiasa zinazopigwa hapo basi wote wangenyamza tu.

Kwa taarifa tu 2025 kuna majimbo ya upinzani tunawarudishia wenyewe then tunaongoza miaka hamsini mjngine tena kiulaini .

Zidumu fikra za mwenyekiti
Chadema huwa wanachezeshwa na ccm politics
 
Jifunze kiswahili fasaha kwanza. Haya maneno uliyoandika ni kutoka lugha gani? MLEFU.....MALA.....

Baada ya kujifunza...anza kupata sasa hiyo ndoto yako kwa kuwa CCM bado ipoipo.
Sawa ngoja nijifunze kiswahili fasaha bosi wangu
 
CCM inaenda kuongozwa na Kina Nassary, Mashinji, Lijuakali, Msando, Nick wapili, Jerry Muro na wahamiaji haramu kibao...
@BiaYetu
@Kawealumni
Crimea
Lizaboni
@Faixafoxy
Elitwege
Bashite
N.k wanaenda kuwa wapenzi watazamaji.
Bila kuwasahau mataga wakuu , Pascal Mayala , johnthebaptist, magonjwa mtambuka , Crimea , Stroke , Mama D , mpaka huruma .
 
Umejiuliza:
-Upinzani ni nini?
-Wapinzani walikuwa akina nani,wako wapi wengine?
-Inapokuja dhana ya kuondolewa CcM madarakani kinakujia nini kichwani?
Umeelewa kilichoandikwa kweli mkuu?
Upinzani ni upinzani. Hizo nyingine mbwembwe tu.
 
Mimi na nani, na nani alikuambia kua mission ni kuitoa ccm madarakani, unajua mataga bwana na uvccm naona kwa sasa baada ya teuzi za kushangaza za mama mmeanza kujifariji kua hatuna uwezo wa kuitoa ccm madarakani, embu pambaneni na mana kama mtaweza , sisi tunajenga chama na zaidi tuko bize kwa sasa mtutafute mwaka 2024 labda huko ....
Kama Mbowe tu mmemshindwa; CCM ndiyo mtaiweza!!?
 
Sasa CCM yenyewe imeshikwa na wapinzani, unataka hao wapinzani waitoa kwa sababu gani?

Kama wao ndo wameshika hatamu ya chama unataka wapambane nayo tena?
Mbowe amehamia lini CCM?
 
Mkuu hii si ndio CCM muliyoshangilia baada ya kuondoka mwendazake, mkawa mnajaza server za JF kwa ajili ya kumsifia mama na teuzi zake na jinsi anavyoendesha mambo, leo kulikoni tena au ni akina Mashinji, Lijuakali ndio chanzo chote cha hasira zenu, mama safi sana, mama juu. Hasira za wivu hizo mkuu. Kwa kifupi tu sioni mwisho wa CCM, mwisho kwa chama gani cha upinzani? na viongozi wapi wa upinzani?
Kama hujaelewa kilichoandikwa uliza ueleweshwe ama rudia kusoma kabla hujachangia
 
Ni jambo la heri. Ni bora watoto wa kambo wanaokuheshimu kuliko watoto wa kuzaa mwenyewe ambao hawana adabu.

Kuna kundi la wanaCCM ambao walikuwa chawa wa Magufuli hawataki kumkubali mama. Wanalazimisha atawale kwa shinikizo lao kupitia kulinda legacy ya Magufuli. Huu ni utovu wa nidhamu na dharau kubwa kwa mama. Mama hana chaguo lingine isipokuwa kuwasafisha kwenye mfumo. Wanamlazimisha kufanya hivyo hata kama alikuwa hataki. Leo watetezi wa mama wamekuwa wapinzani..just imagine! wanaCCM wapo wanademka tu!
Ni jambo la heri. Ni bora watoto wa kambo wanaokuheshimu kuliko watoto wa kuzaa mwenyewe ambao hawana adabu.[emoji736][emoji817]
Hawa hapa!
 
Kwani ccm tunapambana nao ili iweje , kwani kuna vita nchi hii. Sisi tunazungumzia teuzi ambazo uvvcm waaandamizi wanalia na kusaga meno, ndio tunasema mpambane na mama kwanza kwa sasa, sisi tuko bize hamuelewi kiswahili waambie uvccm wenzio hapo lumumba
Soma mada uelewe; upinzani bado sana.
 
Huyu Mama atapigwa uchaguzi asubuhi na mapema sana mwaka 2025 sio kwa chuki au kufanya vibaya Bali kwa falsafa ya mwanadamu ya ccm kuchokwa kama chama cha siasa chakavu zaidi Tanzania na Africa

Atashindwa uchaguzi asubuhi na mapema sana kwa jinsi anavyoenda ni kitu kimoja tu kinaenda kumuangusha nacho ni katiba mpya.

Ogopa sana zimwi na kuchakachua uchaguzi mwaka Jana hili zimwi ni hatari sana ndani ya watu uchaguzi ule uliacha makovu mengi na mama anajua Magufuli hakushinda na yeye yupo hapo kwa dhuruma ya utawala wa dicteta hakuna jambo kubwa kama Katiba na tume huru ya uchaguzi atalifanya na kufanikiwa kila akitaka kufanya maccm yatamwambia sisi ndio tumekuweka hapo tunataka ufanye ili na ili usifanye.

Atashutuka muda unaisha na hakuna atakachokifanya by 2025 hapo ndio upepo wa siasa za Tanzania utakapobadilika maana kutakuwa hakuna tena watu kutekwa kuchezea uchaguzi na watanzania watakuwa hawana cha kupoteza maana tatizo la Ajira mifumo ya elimu na mateso mengine ya kukatika kwa umeme na maji watakuwa na hasira navyo hivyo mambo yatakuwa magumu kwa mama na automatic kwa ccm.
CCM ilishakufa kitambo tu ila inaongoza kwa nguvu ya dola tu,tangu mwaka2010 CCM haikuwahi kushinda uchaguzi ngazi ya rais bara na visiwani. Leo hii dola nayo imestukiwa na janja za kuiba kura nazo ni bayana ivyo hakuna mbinu nyingine tena. Na hili wimbi la madai ya katiba mpya ndo kaburi la kumzika marehemu CCM. Ni lazima azikwe maana harufu ya mzoka wake sasa ni dhahiri.
 
Back
Top Bottom