Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Huyu Mama atapigwa uchaguzi asubuhi na mapema sana mwaka 2025 sio kwa chuki au kufanya vibaya Bali kwa falsafa ya mwanadamu ya ccm kuchokwa kama chama cha siasa chakavu zaidi Tanzania na Africa

Atashindwa uchaguzi asubuhi na mapema sana kwa jinsi anavyoenda ni kitu kimoja tu kinaenda kumuangusha nacho ni katiba mpya.

Ogopa sana zimwi na kuchakachua uchaguzi mwaka Jana hili zimwi ni hatari sana ndani ya watu uchaguzi ule uliacha makovu mengi na mama anajua Magufuli hakushinda na yeye yupo hapo kwa dhuruma ya utawala wa dicteta hakuna jambo kubwa kama Katiba na tume huru ya uchaguzi atalifanya na kufanikiwa kila akitaka kufanya maccm yatamwambia sisi ndio tumekuweka hapo tunataka ufanye ili na ili usifanye.

Atashutuka muda unaisha na hakuna atakachokifanya by 2025 hapo ndio upepo wa siasa za Tanzania utakapobadilika maana kutakuwa hakuna tena watu kutekwa kuchezea uchaguzi na watanzania watakuwa hawana cha kupoteza maana tatizo la Ajira mifumo ya elimu na mateso mengine ya kukatika kwa umeme na maji watakuwa na hasira navyo hivyo mambo yatakuwa magumu kwa mama na automatic kwa ccm.
Huijui CCM weweeee. Chama gani kiishinde CCM hapa Tanzania!?
 
Teuzi mpya muhimu sana za wakuu wa wilaya zimesafisha karibia mabaki yote ya UVCCM, MATAGA NA LMB7. Ni kilio huko kwao. Ni msiba usio na matanga, wamenuna na kukunja sura. Hawaamini mama alichowafanyia!

Na hii ndio CCM toleo la mwisho. Baada ya hii hakuna CCM tena!

Ukipenda waeza hifadhi hii post kwa matumizi ya baadae!
Kiujumla napenda kukupa sifa kwa uchambuzi wako, hasa tokea huko juu kuhusu hatua ilizopitia CCM hadi hapa ilipofika leo.

Katika mistari hii niliyonukuu hapo juu; pamoja na kuwaona watu toka nje ya CCM kwenye uteuzi, lakini bado sehemu kubwa ya wateule ni wale wale "CCM Wenzetu'", akina James wa UVCCM, n.k. Hao wengine wa nje kama akina Nassari ni rasha rasha tu za hapa na pale.

Kwa hiyo bado hapajawa na mabadiliko makubwa sana ya kutikisa "CCM ya walaji".

Ndani ya CCM iliyopo sasa (toleo la nne) sione yeyote mwenye uwezo wa kutikisa chochote ili ipatikane toleo jingine.

Na kwa bahati mbaya sana kwetu sote kama waTanzania, sioni sehemu yoyote ile nje ya CCM kunakofanyika juhudi zinazoweka matumaini ya kulifanya hilo "toleo la nne" la CCM ndilo liwe la mwisho.

Labda tutegemee mahali "pasipotegemewa" kwa sasa kuyapata hayo unayoyaaandika hapa.

Naikataa hoja yako kwamba "CCM Toleo la Nne" ndilo toleo la mwisho, bila ya kutokea "yasiyotegemewa" kwa sasa.
 
Wengi wanechukulia hili kwenye dhana ya uchaguzi 2025 na huu uteuzi wa sasa..lakini ukisoma kwa mtiririko tangu CCM msingi/asili mpaka hii ya mama ni wazi utaona kijacho huko mbeleni ni ccm jina.. Hii ni sawa na mchuzi wa nyama unaoongezwa maji kila mara mwisho hupoteza ladha kabisa japo jina haliwezi kubadilika
CCM ijayo baada ya hii ni CCM MFU... Ama kwa lugha nyingine CCM sanamu ama CCM kinyago (sio cha mpapure) itakuwepo jina lakini si matendo, utashi, unaarufu nguvu na maono
 
CCM inaenda kuongozwa na Kina Nassary, Mashinji, Lijuakali, Msando, Nick wapili, Jerry Muro na wahamiaji haramu kibao...
@BiaYetu
@Kawealumni
Crimea
Lizaboni
@Faixafoxy
Elitwege
Bashite
N.k wanaenda kuwa wapenzi watazamaji.
Acheni kujifariji huu uteuzi unawauma sana mabavicha mama kawachoma sindano na imewaingia vizuri sana
 
Acheni kulazimisha upuuzi ambao kila mtu anaona ni upuuzi.
Kati ya wakuu wa Wilaya 139 walioteuliwa wahamamiaji wako wangapi Hadi useme UVCCM wanalia. Mbona karibia vijana wote walioteliwa ni wale wale, ha ha ha ha ha.

Hamsemi tu kuwa mnaumia kuona Nasaari ndani, Lijualikali ndani, Kalisti Lazaro ndani, Mtatiro ndani, Machali ndani, hata yule mwana wa Arusha ndani. Msilasimishe mambo.
Umewapiga za uso hawa mapimbi
 
Kiujumla napenda kukupa sifa kwa uchambuzi wako, hasa tokea huko juu kuhusu hatua ilizopitia CCM hadi hapa ilipofika leo.

Katika mistari hii niliyonukuu hapo juu; pamoja na kuwaona watu toka nje ya CCM kwenye uteuzi, lakini bado sehemu kubwa ya wateule ni wale wale "CCM Wenzetu'", akina James wa UVCCM, n.k. Hao wengine wa nje kama akina Nassari ni rasha rasha tu za hapa na pale.

Kwa hiyo bado hapajawa na mabadiliko makubwa sana ya kutikisa "CCM ya walaji".

Ndani ya CCM iliyopo sasa (toleo la nne) sione yeyote mwenye uwezo wa kutikisa chochote ili ipatikane toleo jingine.

Na kwa bahati mbaya sana kwetu sote kama waTanzania, sioni sehemu yoyote ile nje ya CCM kunakofanyika juhudi zinazoweka matumaini ya kulifanya hilo "toleo la nne" la CCM ndilo liwe la mwisho.

Labda tutegemee mahali "pasipotegemewa" kwa sasa kuyapata hayo unayoyaaandika hapa.

Naikataa hoja yako kwamba "CCM Toleo la Nne" ndilo toleo la mwisho, bila ya kutokea "yasiyotegemewa" kwa sasa.
Mkuu hawa jamaa wanajifariji tu!

Inawauma sana kuona kina Nasari wamekula teuzi.

Mfano mama angewaacha bado wangekuja na mada kuwananga kwamba amewakomoa mataga!

Yani watu aina ya mleta mada huishi kwa matumaini tu
 
Mkuu 'Crimea', leo naomba nikuulize swali. Ni swali ninalokuuliza kwa dhati kabisa ya moyo wangu, bila ya kejeli yoyote juu yake. Naomba ulichukulie hivyo, na ikikupendeza moyo wako, unijibu bila ya kuhusisha ushabiki wa kivyama ambao ni kawaida ya baadhi ya watu humu ndani ya JF, na kufanya mambo mengi yaonekane kuwa kama ni ya utani kati ya mashabiki tu wa vyama vya siasa.

Hivi wewe umeteuliwa, au umeshika wadhifa wowote ndani ya chama au serikalini, au ni juhudi zako tu za humu JF?

Nassari kwa mfano, anazo sifa gani kukuzidi wewe mfia chama (at least kutokana na juhudi zako za kukitetea chama humu ndani ya JF).

Nimewatumia wewe na Nasari kama mfano tu kwa wengi waliomo CCM na hawakuteuliwa, na wengi wa hao toka nje ya CCM ambao wameteuliwa.
 
Wengi wanechukulia hili kwenye dhana ya uchaguzi 2025 na huu uteuzi wa sasa..lakini ukisoma kwa mtiririko tangu CCM msingi/asili mpaka hii ya mama ni wazi utaona kijacho huko mbeleni ni ccm jina.. Hii ni sawa na mchuzi wa nyama unaoongezwa maji kila mara mwisho hupoteza ladha kabisa japo jina haliwezi kubadilika
CCM ijayo baada ya hii ni CCM MFU... Ama kwa lugha nyingine CCM sanamu ama CCM kinyago (sio cha mpapure) itakuwepo jina lakini si matendo, utashi, unaarufu nguvu na maono
Usisahau..., "Radha, muonjo", ndizo biashara mashuhuri sana siku hizi: Unaweza kuuziwa maji ya sukari yenye radha ya embe, nanasi, chungwa, pera, n.k., bila hata ya kuwemo ndani ya maji hayo chembe hata moja ya vitu hivyo.

Kwa hiyo CCM itaendelea kujitambulisha kwa jina hilo la CCM bila hata kuwa na chembe hata moja ya mambo yaliyosimamiwa na chama hicho ndani ya CCM Asili.
Na waTanzania wanalijuwa hilo barabara, na wala hawastuki!
 
[emoji736][emoji817][emoji736][emoji817][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1548]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kujifariji kwingine bhana!

Katika hao wateuliwa wahamiaji ni wangapi?

Kwanini msione kama ccm ndio inazidi kutanua mizizi badala ya kufikiri wanakomoana kwenge teuzi?
 
IMG_20210620_193027.jpg
 
Huyu Mama atapigwa uchaguzi asubuhi na mapema sana mwaka 2025 sio kwa chuki au kufanya vibaya Bali kwa falsafa ya mwanadamu ya ccm kuchokwa kama chama cha siasa chakavu zaidi Tanzania na Africa

Atashindwa uchaguzi asubuhi na mapema sana kwa jinsi anavyoenda ni kitu kimoja tu kinaenda kumuangusha nacho ni katiba mpya.

Ogopa sana zimwi na kuchakachua uchaguzi mwaka Jana hili zimwi ni hatari sana ndani ya watu uchaguzi ule uliacha makovu mengi na mama anajua Magufuli hakushinda na yeye yupo hapo kwa dhuruma ya utawala wa dicteta hakuna jambo kubwa kama Katiba na tume huru ya uchaguzi atalifanya na kufanikiwa kila akitaka kufanya maccm yatamwambia sisi ndio tumekuweka hapo tunataka ufanye ili na ili usifanye.

Atashutuka muda unaisha na hakuna atakachokifanya by 2025 hapo ndio upepo wa siasa za Tanzania utakapobadilika maana kutakuwa hakuna tena watu kutekwa kuchezea uchaguzi na watanzania watakuwa hawana cha kupoteza maana tatizo la Ajira mifumo ya elimu na mateso mengine ya kukatika kwa umeme na maji watakuwa na hasira navyo hivyo mambo yatakuwa magumu kwa mama na automatic kwa ccm.
Umeandika Sana mkuu ila nikupe muongozio tu CCM bado ipo ipo Sana sio leo Wala kesho. Itatolewa madarakani na upinzani serious sio huu wa mbowe na genge lake
 
1. TUME YA UCHAGUZI - CCM
2. VYOMBO VYA ULINZI - CCM
3. MATOKEO YA URAIS - HAYAPINGWI MAHAKAMANI

CCM wanapoingia kwenye uchaguzi wanajeuka kuwa kundi la MAFIA
Unakumbuka kwenye kurudisha form za kugombea udiwani na umbenge wapinzania walichezea mapanga kutekwa sijui kama ccm ni chama cha siasa au kundi gani
 
Back
Top Bottom