Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Mama hagombei kwa legacy yake...kitawekwa chuma ambacho bila shaka bavicha hamtakipenda, mama akigombea hata mie simpigii kura, wala sitapiga kura ya urais akigombea..
Atawekwa hussein mwinyi au chuma majaliwa
Hili dua limeshakufa kifo cha mende chaliii
 
Mshana unasema hakuna ccm nyingine baada ya hii?? itakuja toleo la 5
 
Uteuzi wa Nassari,Lijuakali nk umewauma sana bavicha kwani unabii wenu hasi umeanguka.Kufa hamtakufa ila cha moto mtakiona
Manabii uchwara wameanza kujitokeza...yaani mada nzima wewe umeona kwenye uteuzi tuu
 
Una amini itakuja CHADEMA hii ya kina Mbowe na ya saluni mwalimu kuwa makamu wa rais?? Hii ii chadema ya kusimamisha kina Lowasa kuwa mgombea urais?? Hii huu CHADEMA ya COVID-19???
 
Una amini itakuja CHADEMA hii ya kina Mbowe na ya saluni mwalimu kuwa makamu wa rais?? Hii ii chadema ya kusimamisha kina Lowasa kuwa mgombea urais?? Hii huu CHADEMA ya COVID-19???
mataga umechanganyikiwa?
 
Mkuu mbona nimeona kama mama kawabeba sana makada this time? Hadi wafuta viatu wa wanec wamekula shavu. Au nimeona vibaya?
 
Mama hagombei kwa legacy yake...kitawekwa chuma ambacho bila shaka bavicha hamtakipenda, mama akigombea hata mie simpigii kura, wala sitapiga kura ya urais akigombea..
Atawekwa hussein mwinyi au chuma majaliwa
Nani atamuweka πŸ˜…?
 
LMB7 = ?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa hakuna upinzani unaoweza kuitoa CCM madarakani. Haupo.
Sasa CCM yenyewe imeshikwa na wapinzani, unataka hao wapinzani waitoa kwa sababu gani?

Kama wao ndo wameshika hatamu ya chama unataka wapambane nayo tena?
 
Aiseeee !!! unaambiwa wana left ma group yao kama nzige .
 
Una amini itakuja CHADEMA hii ya kina Mbowe na ya saluni mwalimu kuwa makamu wa rais?? Hii ii chadema ya kusimamisha kina Lowasa kuwa mgombea urais?? Hii huu CHADEMA ya COVID-19???
Ndio naiamini kwa asilimia [emoji817][emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…