Hii ni dawa gani?

Kama aliweza kukuonyesha Maanake we Ni mshikaji wake, ongea nae kishikaji.... Kwanza Ni Wewe mwenyewe Hakuna cha jamaa wala NiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi
 
Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi

Mbona stori inabadilika tena...
 
Hivi, niulize wakuu. Kipi hasa kinamfanya mtu apate msukumo wa kucheki afya? Kuumwaumwa? Kupata mpenzi mpya? Kujiridhisha?
Kipi hasa?
 
Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi
Wewe sema ulienda kujaribu Kwa Yule aliyekwambia anataka mtoto, usitufanye sisi watoto wadogo mbona maelezo hayafungamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ( am kidding ).
Mwambie amuulize vizuri mke wake, maana hizo Dawa sidhani kama hata zinauzwa pharmacy
 
Hivi, niulize wakuu. Kipi hasa kinamfanya mtu apate msukumo wa kucheki afya? Kuumwaumwa? Kupata mpenzi mpya? Kujiridhisha?
Kipi hasa?
Basi tu wengine hawapendi AmaniπŸ˜‚
 
I wish asingenionyesha hii dawa. Saa tatu leo nitakua nae ngoja nimchimbe tuone atanipa maelezo gani
Hilo ndo la msingi πŸ‘ŠπŸ‘Š, Lakini unaweza kupotezea tu.. sometimes kufatilia maisha ya watu sio vizuri
 
Ameshavifubaza Na Jamaa Yako Atakuwa Kanenepa Sawa Sawa Hakuna Kuacha Mpaka......
 
I wish ningewarekodia audio toka amefika anaongea na madem tu mbalimbali. Anawapanga. Daah
 
Kwani ukisema ni wifi nani atakupiga?? Hapo ndo utamkumbuka dronedrake na chama chake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…