Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati.
Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence wachezaji Au una Nullify Confidence ya Mchezaji Kama Kapombe.
Hata kama huyo Djuma ana kiwango bora sana ukiwa kama mchambuzi wa soka huwezi kusema maneno haya incase una benefit kutoka kwa Hyo Mchezaji.
Basically Wachambuzi Wetu wajadili na kuchambua mpira kwa upana na Sio Kulinganisha Wachezaji Wetu na Wenzao kwa Dharau Hivi
Sent using Jamii Forums mobile app