Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa ndani

Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa ndani

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati.

Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence wachezaji Au una Nullify Confidence ya Mchezaji Kama Kapombe.

Hata kama huyo Djuma ana kiwango bora sana ukiwa kama mchambuzi wa soka huwezi kusema maneno haya incase una benefit kutoka kwa Hyo Mchezaji.

Basically Wachambuzi Wetu wajadili na kuchambua mpira kwa upana na Sio Kulinganisha Wachezaji Wetu na Wenzao kwa Dharau Hivi

Screenshot_20220118-125856.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sasa kapombe kiwango kimeshuka, na ki ukweli kipindi kile cha usajili Djuma alimkimbia 'kapombe' na aka chagua kwenda yanga rather than simba ya ' kapombe' ………….!
ni ukweli unaouma ,mechi ya mwisho coast union vs Yanga angalia Djuma alivyokuwa anafikisha cross zake kwenye 18 na ina madhara ,kapombe cross zake zote 90% zinaishia kugonga wanaomkaba yeye,anatoa cross hata huko kwenye 18 haifiki anagongesha kwa anayemkaba na inakuwa mpira wa throw in.
 
Ambangile siyo mnafiki kaongea ukweli Djuma na Kapombe wote wanacheza Soka la kulipwa.. kwa hiyo kama Kapombe hatimiziajukumu yake ipasavyo ni Kosa Mchambuzi kuongea ukweli? Hata Soka letu halifiki mbali kwa kuchagua kuwa wanafiki na kutozungumza ukweli. Ukweli ndiyo utamsaidia Kapombe na team ya Simba, Kapombe Ajifunze kwa Djuma au kama umri umemtupa mkono Simba wawape vijana wadogo nafasi ya Kapombe au wasajili mchezaji mwingine mwenye uwezo zaidi ya Djuma kwenye nafasi ya Kapombe.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati.

Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence wachezaji Au una Nullify Confidence ya Mchezaji Kama Kapombe.

Hata kama huyo Djuma ana kiwango bora sana ukiwa kama mchambuzi wa soka huwezi kusema maneno haya incase una benefit kutoka kwa Hyo Mchezaji.

Basically Wachambuzi Wetu wajadili na kuchambua mpira kwa upana na Sio Kulinganisha Wachezaji Wetu na Wenzao kwa Dharau Hivi

View attachment 2086297

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo ulitaka amsifie kapombe ata Kama anazidiwa uwezo, amsifie eti kwakuwa ni mzawa? Ukweli unabaki kuwa ukweli auwezi kuubadilisha eti kwa sababu ya kubalansi mambo iyo aiwezekani, Kama ni nyeupe ni nyeupe tu na sio nyeusi
 
Hakuna la maana alilochambua hapo anauhakika gani kama kina kapombe wawili ndiyo wanamfikia djuma au watazidi kiwango cha djuma,yeye aseme tu kwa sasa hapa bongo Djuma hakuna beki wa kumfikia inaeleweka..
 
Djuma shaabani si tu mchezaji Bali ana Kaliba ya Uongozi kwakua anacheza uku akiwapanga na kuelekeza wenzake ni kitu ambacho safu yote ya ulinzi wa Yanga hawana. Anatoa pasi na anaelekeza uende wapi. Kama Denis Nkane atacheza upande mmoja na Djuma Shaabani atajifunza vitu vingi vizuri.
 
Hamtaki ukweli, kapombe hana uwezo wa kumfikia djuma hata isipo semwa ukweli unabaki hivyo

Au mnapenda sikia kibu D n zaidi ya mayele hahahahaha
 
Hamtaki ukweli, kapombe hana uwezo wa kumfikia djuma hata isipo semwa ukweli unabaki hivyo

Au mnapenda sikia kibu D n zaidi ya mayele hahahahaha
 
Japo joji kakosea kuongea kitu kama hicho hadharan maana yeye Ni mchambuz ,lakin ifike Mahal sisi Wana Simba tuubebe huu ukweli kuwa Kapombe kwasasa kiwango kimeshuka Sana .
Yaan umwagaji maji wake unasikitisha Sana sio kapombe Yule ambaye alikua anamwaga close kwa style ya curve ,siku izi anapiga close zote zinalenga goli au kutoka nje ya goli Hadi unajiuliza Ana shida gani huyu ,na sio Mara moja Ni Kila muda .

Na Simba ilikua inanufaika Sana na mipira ya kumwaga maji toka kwa kapombe au husseni, lakin kwasasa hayo Mambo hakuna Tena .
Simba hatuna mpiga close wa uhakika ,mpiga penalty wa uhakika angalau Kona yupo bwalya .

Huo ndio ukweli kapombe kaisha.
 
wabongo tunaugonjwa wa kutopenda kuambiwa ukweli.
Na ni ugonjwa mbaya sana, na ndio unaorudisha soka letu nyuma baada ya kujifunza kurekebisha mtu anapokosea ili aongeze ubora wao wanapenda kupewa sifa zisizo stahili ata Kama kitu ni kibovu
 
Back
Top Bottom