Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
ya msibaniHuyu amekula maharage ya wap jmn
Kwa kwelIya msibani
ni ukweli unaouma ,mechi ya mwisho coast union vs Yanga angalia Djuma alivyokuwa anafikisha cross zake kwenye 18 na ina madhara ,kapombe cross zake zote 90% zinaishia kugonga wanaomkaba yeye,anatoa cross hata huko kwenye 18 haifiki anagongesha kwa anayemkaba na inakuwa mpira wa throw in.kwa sasa kapombe kiwango kimeshuka, na ki ukweli kipindi kile cha usajili Djuma alimkimbia 'kapombe' na aka chagua kwenda yanga rather than simba ya ' kapombe' ………….!
Kwaiyo ulitaka amsifie kapombe ata Kama anazidiwa uwezo, amsifie eti kwakuwa ni mzawa? Ukweli unabaki kuwa ukweli auwezi kuubadilisha eti kwa sababu ya kubalansi mambo iyo aiwezekani, Kama ni nyeupe ni nyeupe tu na sio nyeusiMimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati.
Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence wachezaji Au una Nullify Confidence ya Mchezaji Kama Kapombe.
Hata kama huyo Djuma ana kiwango bora sana ukiwa kama mchambuzi wa soka huwezi kusema maneno haya incase una benefit kutoka kwa Hyo Mchezaji.
Basically Wachambuzi Wetu wajadili na kuchambua mpira kwa upana na Sio Kulinganisha Wachezaji Wetu na Wenzao kwa Dharau Hivi
View attachment 2086297
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni ugonjwa mbaya sana, na ndio unaorudisha soka letu nyuma baada ya kujifunza kurekebisha mtu anapokosea ili aongeze ubora wao wanapenda kupewa sifa zisizo stahili ata Kama kitu ni kibovuwabongo tunaugonjwa wa kutopenda kuambiwa ukweli.