Hii ni divisheni gani? Kuna dogo kapata hivi form 4

Civics C pass =3
History C pass = 3
Kiswahili C pass =3
Commerce C pass = 3
English D pass = 3
Biology D pass = 4
Georgraphy F = 5
Bookkeeping F = 5
Mathematics F= 5

Hiyo ni division 4
English D halafu 3pt?
 
Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Kwenye comb kapuyanga, aanze cheti asonge mdogo mdogo
 
Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Certificate of development studies
 
Kinachotakiwa ni awe na sifa za kufanya mtohani wa alevo. Kama yuko smart hata EGM anasoma bila shida na anaweza faulu bila shida.
Acha utan ndugu...asome EGM.....na ana F ya Geography na mathematics
 
Kwani kwenye cheti hawajaandika?
Labda dogo anamkoroga na atakuwa amempatia matokeo ya mtu mwingine, ushauri kama unakijana mtundu mtundu muwahi siku anaanza tu mtihani muombe akupe namba yake ya mtihani.

Nimekutana na kisa kama hicho binamu yangu kamuingiza chaka mshua wake.

Mshua naye kanipambanisha kuwa binamu alipata division 3 lakini haukuweza kuendelea. Mimi nikamwambia mtume aje Dar nikiwa na uhakika kama anacheti cha form nitamchomeka mahali apate japo 3k kwa mwezi akishachangamka atajua mwenyewe ajichanganye vipi Town.
Bana nami nikaenda kichwa kichwa kwa hr nakumwambia nina mdogo wangu nisaidie tumchomeke mahali. Akanambia hakikisha ana cheti cha matokeo ya form 4 kwa kujiamini kabisa nikamwambia anacho.
Basi dogo kaja kafikia nyumbani asubuhi mimi nilikuwa nawahi sana kutoka nikamwachia nauli tukutane ofisini.
Bana heee dogo katanga getini nilikuwa tayari nimeacha maagizo.
Akaruhusiwa kuingia mpka ofisini nikamwambia naomba vyeti vyako ili nitoe kopi, dogo kanichapa na leaving tu, kumwuliza analetwa swaga kuwa cheti kingine hajapewa, nikajua aliliwa kichwa.
Nikachukuwa namba yake kusearch matokeo ana four ya 31.
Next day nikamkatia tiketi akarudi kijijini, japo mjomba ameweka bifu kwa kutoelewa kwake.
 
Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Hiyo div 3 ya mwisho (25))
 
Ana division three point 25..hapo wanachukua masomo saba ndio wanayatumia kutafutia division/daraja.
 
Labda dogo anamkoroga na atakuwa amempatia matokeo ya mtu mwingine, ushauri kama unakijana mtundu mtundu muwahi siku anaanza tu mtihani muombe akupe namba yake ya mtihani.

Nimekutana na kisa kama hicho binamu yangu kamuingiza chaka mshua wake.

Mshua naye kanipambanisha kuwa binamu alipata division 3 lakini haukuweza kuendelea. Mimi nikamwambia mtume aje Dar nikiwa na uhakika kama anacheti cha form nitamchomeka mahali apate japo 3k kwa mwezi akishachangamka atajua mwenyewe ajichanganye vipi Town.
Bana nami nikaenda kichwa kichwa kwa hr nakumwambia nina mdogo wangu nisaidie tumchomeke mahali. Akanambia hakikisha ana cheti cha matokeo ya form 4 kwa kujiamini kabisa nikamwambia anacho.
Basi dogo kaja kafikia nyumbani asubuhi mimi nilikuwa nawahi sana kutoka nikamwachia nauli tukutane ofisini.
Bana heee dogo katanga getini nilikuwa tayari nimeacha maagizo.
Akaruhusiwa kuingia mpka ofisini nikamwambia naomba vyeti vyako ili nitoe kopi, dogo kanichapa na leaving tu, kumwuliza analetwa swaga kuwa cheti kingine hajapewa, nikajua aliliwa kichwa.
Nikachukuwa namba yake kusearch matokeo ana four ya 31.
Next day nikamkatia tiketi akarudi kijijini, japo mjomba ameweka bifu kwa kutoelewa kwake.
Aisee.
 
Acha utan ndugu...asome EGM.....na ana F ya Geography na mathematics
Kwani minimum rewuirements za kufanya mtihani wa form6 zipi?

Kuna watu nnawajua walikua na F na C tatu na bado wakasoma HGE na wengine EGM na wakatoka na div1 form6!

Na kuna watu nnawajua walisoma HGL na chuo wakaenda kusoma BAF na sasa ni CPA holders!

Hiyo experience niliyoiona! Hamna kinachoshindikana mtu akiamua!
 
Back
Top Bottom