BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Huyu naye anachosha watu bure, mbona division ipo kwenye matokeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
English D halafu 3pt?Civics C pass =3
History C pass = 3
Kiswahili C pass =3
Commerce C pass = 3
English D pass = 3
Biology D pass = 4
Georgraphy F = 5
Bookkeeping F = 5
Mathematics F= 5
Hiyo ni division 4
Kwenye result sleep huwa inaandikwa division yake.Huyu naye anachosha watu bure, mbona division ipo kwenye matokeo.
Kinachotakiwa ni awe na sifa za kufanya mtohani wa alevo. Kama yuko smart hata EGM anasoma bila shida na anaweza faulu bila shida.Huyu naye anachosha watu bure, mbona division ipo kwenye matokeo.
Kwenye comb kapuyanga, aanze cheti asonge mdogo mdogoWataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Kwani kwenye cheti hawajaandika?Nilijua 3
Certificate of development studiesWataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Kama anataka kusoma alevo inafaa. Ila atapata private na atafanya mtihani bila shida.Kwenye comb kapuyanga, aanze cheti asonge mdogo mdogo
Kwa combination ipi kwa mfano?Kama anataka kusoma alevo inafaa. Ila atapata private na atafanya mtihani bila shida.
Hio for 4 ya 26....labda iongezeke d moja ndo iwe three ya 25Ana three ya 25
Acha utan ndugu...asome EGM.....na ana F ya Geography na mathematicsKinachotakiwa ni awe na sifa za kufanya mtohani wa alevo. Kama yuko smart hata EGM anasoma bila shida na anaweza faulu bila shida.
Labda dogo anamkoroga na atakuwa amempatia matokeo ya mtu mwingine, ushauri kama unakijana mtundu mtundu muwahi siku anaanza tu mtihani muombe akupe namba yake ya mtihani.Kwani kwenye cheti hawajaandika?
Hiyo div 3 ya mwisho (25))Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Aisee.Labda dogo anamkoroga na atakuwa amempatia matokeo ya mtu mwingine, ushauri kama unakijana mtundu mtundu muwahi siku anaanza tu mtihani muombe akupe namba yake ya mtihani.
Nimekutana na kisa kama hicho binamu yangu kamuingiza chaka mshua wake.
Mshua naye kanipambanisha kuwa binamu alipata division 3 lakini haukuweza kuendelea. Mimi nikamwambia mtume aje Dar nikiwa na uhakika kama anacheti cha form nitamchomeka mahali apate japo 3k kwa mwezi akishachangamka atajua mwenyewe ajichanganye vipi Town.
Bana nami nikaenda kichwa kichwa kwa hr nakumwambia nina mdogo wangu nisaidie tumchomeke mahali. Akanambia hakikisha ana cheti cha matokeo ya form 4 kwa kujiamini kabisa nikamwambia anacho.
Basi dogo kaja kafikia nyumbani asubuhi mimi nilikuwa nawahi sana kutoka nikamwachia nauli tukutane ofisini.
Bana heee dogo katanga getini nilikuwa tayari nimeacha maagizo.
Akaruhusiwa kuingia mpka ofisini nikamwambia naomba vyeti vyako ili nitoe kopi, dogo kanichapa na leaving tu, kumwuliza analetwa swaga kuwa cheti kingine hajapewa, nikajua aliliwa kichwa.
Nikachukuwa namba yake kusearch matokeo ana four ya 31.
Next day nikamkatia tiketi akarudi kijijini, japo mjomba ameweka bifu kwa kutoelewa kwake.
Mbona ni division three point 25Four ya 26
Kwani minimum rewuirements za kufanya mtihani wa form6 zipi?Acha utan ndugu...asome EGM.....na ana F ya Geography na mathematics