Hii ni Gari Halali kwa Matajiri Duniani ila Wengi hawajui Utofauti wa Hizi Gari.

HAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHA DAH thread kama hizi waanzishaji hua hawakawii kupokea za uso
 
Karibuni kwenye Ulimwengu wa RANGE ROVER. Tupeane uzoefu zaidi na ushauri.
Hapa wa kukupa uzoefu watakuwa ni wachache sana. Wengi tumekuja kuchukua uzoefu kwa kuwa hizi gari tunazionaga tu kwa mbali... Sie bado tuko level ya Vitz... Hongera kwa kumiliki mikoko ya maana!
 
hii gari niota nilalapo, ipo siku
 
pamoja na barabara mbona huwa naclock 280 kph? maana mchuma nilio nao ni 320 Kph. Ila sio barabtra zote katika nchi hii nui nyembamba na kwa kuoishana na magari mengine inabidi upunguze walao iwe 200
 
Mnunulie na mimi niiendeshe!
 
Safi sana. Ni maamuzi tu ndugu yangu unaweza fika huko ukiamua.
pamoja na barabara mbona huwa naclock 280 kph? maana mchuma nilio nao ni 320 Kph. Ila sio barabtra zote katika nchi hii nui nyembamba na kwa kuoishana na magari mengine inabidi upunguze walao iwe 200
 
Range hapo ni hiyo autobiography. Hizo zingine hata hazieleweki.
 
Safi sana. Ni maamuzi tu ndugu yangu unaweza fika huko ukiamua.
most important ni aina ya gari. hizi za mjapani subutu!! ile 140 tu kanaanza kuyumba hasa ukikitana na semi! ila kama kitu ya jerumani!! funga madirisha weka kiyoyozi na gospel za kutosha unafika 200 hata huoni kama inatembea!!
 
hizi gari za kawaida sana unaweza pata old model hata kwa 18-20 ukiagiza
 
Safi sana. Ni maamuzi tu ndugu yangu unaweza fika huko ukiamua.
na also medereva wengi hapa tz sio madereva walifundishwa!! mtu anajifunza na autaomatic kuweka D na R basi!! akishajua anavuta mkoko na cmu juu akiwa anaendesha hapo hata 60 Kph. unaona gari kama inapaa!! kuna jamaa ana Crown lakini max speed yake ni 50 na akizidi 70 mwisho!!
 
Mimi ninazo zote pamoja na hii
 
Mkuu hujaelezea kwanini matajiri wanapenda kumiliki gari hii, ulichoelezea zaid ni umiliki wako wa gari hizo mbili ambazo hatujaziona wala hatuzijui....tupe tips kidogo, security yake ikoje, inauwezo wa kuepuka ajali..tairi ikipasuka inajireplace...risasi kama za lissu unapona na unatoka unadunda tu...camera pande zote n.k n.k
 
Unanikumbusha miaka ya 2000 mwanzoni dream car yangu ilikuwa starlet kisa tu dully Sykes alikuw anakimbizia mademu mtaani. Nilipokuja Anza shika hela yangu hicho kigali kikawa kipo outdated kabsaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…