Huwezi kuwa mwelewa nadhani mambo ya Fwedha wewe hufahamu.. huwezi hata kuwa na B moja ukaspend M600 kununua Magari.. ImposibleMbona umekariri maisha boss? Range mbili ni mill 600 tu. So bongo ukiwa na gari za 600 mill ni billionaire?
Wewe umesema Bongo mwenye range mbili ni billionaire, Nimekuuliza je ukiwa na range mbili Tanzania unakuwa considered a billionaire? Alafu kwanini una undermine mtu usiyemjua boss? na unaposema impossible wewe ni financial consultant wa watanzania wote? Na bongo ili uwe billionaire unatakiwa kuwa na billion ngapi?Huwezi kuwa mwelewa nadhani mambo ya Fwedha wewe hufahamu.. huwezi hata kuwa na B moja ukaspend M600 kununua Magari.. Imposible
Hizo evoque zimekaa kishoga shoga tu.Hii ndo Range R machine ....za sasa zimepoteza mwonekano wa asiliView attachment 1100324
Uwe na $1bil.Wewe umesema Bongo mwenye range mbili ni billionaire, Nimekuuliza je ukiwa na range mbili Tanzania unakuwa considered a billionaire? Alafu kwanini una undermine mtu usiyemjua boss? na unaposema impossible wewe ni financial consultant wa watanzania wote? Na bongo ili uwe billionaire unatakiwa kuwa na billion ngapi?
Hizo evoque zimekaa kishoga shoga tu.
Ule u-masculine woote kushnei,bora autobiagraph kwa mbaaali.
Haya maono kama yangu mkuu, sema naongezea na hiyo velarSvauto ndo imebaki na mwonekano wa kale ulioboreshwa wa RR. Nami nlilipenda sababu limekaa kiume sana na hasa sisi wenye misimamo ya kale ya RR. vijana wakoloni.lina space pia kubwa sana.
Evoque nliona inafaa sana kwa wadada, ntakuja kumnunulia wife nikioa yeye awe na evoque.
Bado nasisitiza huelewi flow of money inavyokuwa.. Narudia Ukiwa una uwezo wa kuwa na range mbili lazima utakuwa na pesa nyingi tu B kadhaa huwezi hata kuwa na m 800 ukaspend m 600 kwenye magariWewe umesema Bongo mwenye range mbili ni billionaire, Nimekuuliza je ukiwa na range mbili Tanzania unakuwa considered a billionaire? Alafu kwanini una undermine mtu usiyemjua boss? na unaposema impossible wewe ni financial consultant wa watanzania wote? Na bongo ili uwe billionaire unatakiwa kuwa na billion ngapi?
Hizi gari hununuliwa kwa installment ila tatizo watanzania wengi wanakariri maisha. Haina tofauti na kununua used from japan kwa mkopo wa benkiHuwezi kuwa mwelewa nadhani mambo ya Fwedha wewe hufahamu.. huwezi hata kuwa na B moja ukaspend M600 kununua Magari.. Imposible
Kuna wengine hawana miguu [emoji2]Daah kapuku mimi wa Raum
Kuna u-masculine wowote unauona kwenye evoque?evogue haija kaa kishoga,labda mtazamo wako ww tu,,
wewe jamaa nimekuelewa San logic yako na tumaini hata uliekuwa unamuelewesha kaelewa ila haiondoi maana kwamba kidukulilo hamiliki izo gari mbiliBado nasisitiza huelewi flow of money inavyokuwa.. Narudia Ukiwa una uwezo wa kuwa na range mbili lazima utakuwa na pesa nyingi tu B kadhaa huwezi hata kuwa na m 800 ukaspend m 600 kwenye magari
Namimi nasisitiza acha kukariri maisha. Have a good day.Bado nasisitiza huelewi flow of money inavyokuwa.. Narudia Ukiwa una uwezo wa kuwa na range mbili lazima utakuwa na pesa nyingi tu B kadhaa huwezi hata kuwa na m 800 ukaspend m 600 kwenye magari
Inachoniuma hii gari kila siku inazidi kupoteza muonekano wake labda hiyo autobiography kidogo..
Ndoto yangu inazidi kupotea nikija kupata mahela gari ya ndoto zangu ifakua imeshapitoza muonekano wake ndio hela zitaishia bar alafu mnaanza kunilaumu poa tu
πππ pia kuna wauaji wanavaa suit, wanavaa kanzu, wanavaa jeans .utaacha vaa hivyo? RR ni gari ya heshima Dunia nzima wewe ukiichukia hata hawajui kuwa upo....
kabisa na sijampinga..wewe jamaa nimekuelewa San logic yako na tumaini hata uliekuwa unamuelewesha kaelewa ila haiondoi maana kwamba kidukulilo hamiliki izo gari mbili
Hio ni formula mzee taka usitakeNamimi nasisitiza acha kukariri maisha. Have a good day.
kuna uzi niliona mtu akisema wewe ni mhaya....sasa naanza kuelewa kwanini
Namimi nasisitiza acha kukariri maisha. Have a good day.