Hii ni Gari Halali kwa Matajiri Duniani ila Wengi hawajui Utofauti wa Hizi Gari.

Mbona umekariri maisha boss? Range mbili ni mill 600 tu. So bongo ukiwa na gari za 600 mill ni billionaire?
Huwezi kuwa mwelewa nadhani mambo ya Fwedha wewe hufahamu.. huwezi hata kuwa na B moja ukaspend M600 kununua Magari.. Imposible
 
Wewe umesema Bongo mwenye range mbili ni billionaire, Nimekuuliza je ukiwa na range mbili Tanzania unakuwa considered a billionaire? Alafu kwanini una undermine mtu usiyemjua boss? na unaposema impossible wewe ni financial consultant wa watanzania wote? Na bongo ili uwe billionaire unatakiwa kuwa na billion ngapi?
 
Uwe na $1bil.
 
kuna uzi niliona mtu akisema wewe ni mhaya....sasa naanza kuelewa kwanini
 
Svauto ndo imebaki na mwonekano wa kale ulioboreshwa wa RR. Nami nlilipenda sababu limekaa kiume sana na hasa sisi wenye misimamo ya kale ya RR. vijana wakoloni.lina space pia kubwa sana.
Evoque nliona inafaa sana kwa wadada, ntakuja kumnunulia wife nikioa yeye awe na evoque.
Haya maono kama yangu mkuu, sema naongezea na hiyo velar
 
Wewe umesema Bongo mwenye range mbili ni billionaire, Nimekuuliza je ukiwa na range mbili Tanzania unakuwa considered a billionaire? Alafu kwanini una undermine mtu usiyemjua boss? na unaposema impossible wewe ni financial consultant wa watanzania wote? Na bongo ili uwe billionaire unatakiwa kuwa na billion ngapi?
Bado nasisitiza huelewi flow of money inavyokuwa.. Narudia Ukiwa una uwezo wa kuwa na range mbili lazima utakuwa na pesa nyingi tu B kadhaa huwezi hata kuwa na m 800 ukaspend m 600 kwenye magari
 
Huwezi kuwa mwelewa nadhani mambo ya Fwedha wewe hufahamu.. huwezi hata kuwa na B moja ukaspend M600 kununua Magari.. Imposible
Hizi gari hununuliwa kwa installment ila tatizo watanzania wengi wanakariri maisha. Haina tofauti na kununua used from japan kwa mkopo wa benki
 
Bado nasisitiza huelewi flow of money inavyokuwa.. Narudia Ukiwa una uwezo wa kuwa na range mbili lazima utakuwa na pesa nyingi tu B kadhaa huwezi hata kuwa na m 800 ukaspend m 600 kwenye magari
wewe jamaa nimekuelewa San logic yako na tumaini hata uliekuwa unamuelewesha kaelewa ila haiondoi maana kwamba kidukulilo hamiliki izo gari mbili
 
Namimi nasisitiza acha kukariri maisha. Have a good day.
 
Hamia G class mkuu..zimekaa kiume na kiboss
Inachoniuma hii gari kila siku inazidi kupoteza muonekano wake labda hiyo autobiography kidogo..
Ndoto yangu inazidi kupotea nikija kupata mahela gari ya ndoto zangu ifakua imeshapitoza muonekano wake ndio hela zitaishia bar alafu mnaanza kunilaumu poa tu
 
😂😂😂 pia kuna wauaji wanavaa suit, wanavaa kanzu, wanavaa jeans .utaacha vaa hivyo? RR ni gari ya heshima Dunia nzima wewe ukiichukia hata hawajui kuwa upo....

Kwa hapa Tanzania kila muuza unga ndiye anamiliki Range kuiga matajiri wa nje.
 
wewe jamaa nimekuelewa San logic yako na tumaini hata uliekuwa unamuelewesha kaelewa ila haiondoi maana kwamba kidukulilo hamiliki izo gari mbili
kabisa na sijampinga..
 
Back
Top Bottom