D Dik JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,205 Reaction score 416 Nov 25, 2011 #1 Inawezekana kuoa/kuolewa kabla ya kufanya mapenzi?kuna madhara/faida gani?
Sordo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 396 Reaction score 122 Nov 25, 2011 #2 Kimaadili ya kiroho ni sawa na hakuna madhara yoyote
M Mike 1234 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 1,633 Reaction score 155 Nov 25, 2011 #3 sina uhakika wa madhara ila kiroho au kidini imekatazwa kabisa ni mwiko kutenda bila ndoa
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Nov 25, 2011 #4 kweli wewe ni dik unamaana unataka kujua inamadhara gani utaduu sana kwa muda mwingi kila ukimuona tu wewe unataka kuduu naye..
kweli wewe ni dik unamaana unataka kujua inamadhara gani utaduu sana kwa muda mwingi kila ukimuona tu wewe unataka kuduu naye..
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 Nov 25, 2011 #5 Wewe unaonaje??
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,075 Nov 25, 2011 #6 unajua maana ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia?