Hii ni haki?

Hii ni haki?

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Inawezekana kuoa/kuolewa kabla ya kufanya mapenzi?kuna madhara/faida gani?
 
Kimaadili ya kiroho ni sawa na hakuna madhara yoyote
 
sina uhakika wa madhara ila kiroho au kidini imekatazwa kabisa ni mwiko kutenda bila ndoa
 
kweli wewe ni dik unamaana unataka kujua inamadhara gani utaduu sana kwa muda mwingi kila ukimuona tu wewe unataka kuduu naye..
 
unajua maana ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Back
Top Bottom