Hii ni Hali ya kawaida au Kuna Tatizo sehemu

Ni kweli yawezekana hiyo sehemu uliwahi kufika maisha yako yaliyopita
 
Mara nyingi inakuaga ni ndoto ambazo ulishaziota kipind cha nyuma katika mazingira hayo,kwaio unakuja kuyaona matukio hayo ulioyaota siku za mbeleni.. ni jambo la kawaida tu..!
 
Hata mimi imewahi kunikuta kbs nadhan kuna namna ulimwengu wa roho....
 
Ubongo hua na tabia ya kuunda taswira fulani, n kama inatengeneza tricks zake yenyewe.

Mfano, Amka asubuhi jiangalie kwenye kioo, kuna siku utajiona mzuri, mbaya, hueleweki
Mimi naonaga hata nikikiangalia kioo kwa mda mrefu huwa nakuwa na sura mbalimbali. Yaan unajiona kama unabadirikabadirika tu huna sura moja.Labda ni mawenge tu😁
 
Deja vu.
 
Oa mluguru, utanishukuru
 
In some cases, déjà vu can be a sign of a more serious underlying condition, such as epilepsy or another neurological disorder.
 
Mimi naonaga hata nikikiangalia kioo kwa mda mrefu huwa nakuwa na sura mbalimbali. Yaan unajiona kama unabadirikabadirika tu huna sura moja.Labda ni mawenge tu😁
Kazi ya ubongo hiyo kujitengenezea taswira zake yenyewe
 
Tafuta note book andika ndoto unazoziota na kuzikumbuka Kila ukiamka fanya hivyo hata kwa miaka mitatu!. Be patient utagundua kitu chaa ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…