Hii ni hatari sana kwa wana Yanga msikilizeni makamu wenu

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Hawa jamaa awako kwa ajili ya yanga wakati wachezaji wanakufa njaaa viongozi wanakaa vikao vingi wakilipana bila sababu

Alipoulizwa kwanini mnakaa vikao vinavyovunja katiba yenu anakwambia tuna mambo. Mengi ya kujadiliana.

Nawashauri mkapinge hili jambo wakianza kukaa mavikao ya ajabuajabu mtaishia kuwa na. Yanga jina.

Mh Raisi anapambana Serikalini kuondoa mavikao yasiyo na msingi kubana matumizi na mbaya unakuta wanafanyia kwenye mahotel.makubwa hilo halipendezi.

Tukatae kwa nguvu zote.

Wachezaji wa Yanga wanaishi maisha magumu sana nawaambieni kaangalieni mpira wa Mwanza mtajua kwanini Nuhu hakujaza watu akajaza wanyama kwenye safina....

Ni shida sanaaa....Wanayanga mpambane. na maslahi ya wachezaji wenu else mtabaki historia
 
Muwalipe hao wachezaji wenu, tumechoka kuwakopesha huku mtaani. Jana Sadney katuma mtoto wake dukani kwangu hapa kukopa sukari na mchele....walipeni jameni
 
Hawa jamaa awako kwa ajili ya yanga wakati wachezaji wanakufa njaaa viongozi wanakaa vikao vingi wakilipana bila sababu

Alipoulizwa kwanini mnakaa vikao vinavyovunja katiba yenu anakwambia tuna mambo. Mengi ya kujadiliana.

Nawashauri mkapinge hili jambo wakianza kukaa mavikao ya ajabuajabu mtaishia kuwa na. Yanga jina.

Mh Raisi anapambana Serikalini kuondoa mavikao yasiyo na msingi kubana matumizi na mbaya unakuta wanafanyia kwenye mahotel.makubwa hilo halipendezi.

Tukatae kwa nguvu zote.

Wachezaji wa Yanga wanaishi maisha magumu sana nawaambieni kaangalieni mpira wa Mwanza mtajua kwanini Nuhu hakujaza watu akajaza wanyama kwenye safina....

Ni shida sanaaa....Wanayanga mpambane. na maslahi ya wachezaji wenu else mtabaki historia
Kamwambie MO aweke mzigo kwanza, ao Makanjanja wa redion washa kuingiza Chaka.
 
Pondamali analalamika anadai pesa nyingi Yanga akiwafata wanasema wako busy na maandili ya mechi lipeni watu wenu hakuna cha bure
 
Ya Ngowe mwachieni Ngoswe mwenyewe , huko kwenu haukuna ya kujadili hata kwanini mfungwe na timu isiyokuwa na kikosi kipana kama mwadui , anzieni hapo.
Pondamali analalamika anadai pesa nyingi Yanga akiwafata wanasema wako busy na maandili ya mechi lipeni watu wenu hakuna cha bure
 
Kwa hiyo hadi kukaa vikao inakuuma? Vipi kati ya Yanga kukaa vikao vingi na simba kuguswa/kupapaswa na mwadui ipi inakuuma zaidi ikiingia?
 
Back
Top Bottom