BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Hawa jamaa awako kwa ajili ya yanga wakati wachezaji wanakufa njaaa viongozi wanakaa vikao vingi wakilipana bila sababu
Alipoulizwa kwanini mnakaa vikao vinavyovunja katiba yenu anakwambia tuna mambo. Mengi ya kujadiliana.
Nawashauri mkapinge hili jambo wakianza kukaa mavikao ya ajabuajabu mtaishia kuwa na. Yanga jina.
Mh Raisi anapambana Serikalini kuondoa mavikao yasiyo na msingi kubana matumizi na mbaya unakuta wanafanyia kwenye mahotel.makubwa hilo halipendezi.
Tukatae kwa nguvu zote.
Wachezaji wa Yanga wanaishi maisha magumu sana nawaambieni kaangalieni mpira wa Mwanza mtajua kwanini Nuhu hakujaza watu akajaza wanyama kwenye safina....
Ni shida sanaaa....Wanayanga mpambane. na maslahi ya wachezaji wenu else mtabaki historia