Hii ni hypothetical scenario, lakini kwa KATIBA hii rais anaweza kufanya na ikawa imekwisha!

Hii ni hypothetical scenario, lakini kwa KATIBA hii rais anaweza kufanya na ikawa imekwisha!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kwa katiba yetu ilivyo, Rais anaweza kusema kuwa kuanzia leo Tanga, Dar, Pwani ni sehemu ya Zanzibar kama alivyoamua kuwa ngorngoro ni sehemu ya wazi!

TUPAMBANIE KATIBA MPYA

1724771214451.png
 
Kwa katiba yetu ilivyo, Rais anaweza kusema kuwa kuanzia leo Tanga, Dar, Pwani ni sehemu ya Zanzibar kama alivyoamua kuwa ngorngoro ni sehemu ya wazi!

View attachment 3080733
Hapana.
Siyo kwa sababu ya Katiba tu; ni kwa sababu ya tabia za watu (raia) zilivyo geuzwa na kuwa za kushangaza kabisa.

Ndiyo.
Kwa jinsi nchi hii raia walivyo sasa hivi hilo ni rahisi kabisa kwa mtu kama huyo kutamka na likafanyika kweli; kwa sababu hakuna chombo/kundi linalo weza kuhoji anachofanya huyu mtu mmoja. Lakini siyo kwa sababu ya Katiba, ni kwa sababu ya watu kutojali lolote linalofanyika ndani ya nchi hii.

Kwa mfano: tendo la watu kutekwa na kupotezwa tu hivi hivi, na likaonekana sasa kuwa ni jambo la kawaida tu?
 
Na huo ndo utakua mwisho wa Muungano na anguko la CCM.

Maiti zilizosemwa na Kenyatta zitafufuka kudai haki yao, Ni ajabu sana.
 
Back
Top Bottom