Hii ni Kali au fashion eh 😡😡😡

Hii ni Kali au fashion eh 😡😡😡

Dah umeongea kwa machungu sana ila bahati mbaya kwangu kwani sijaelewa kitu kabisa.
[emoji16]
 
KWA WANAUME WENYE NDOA ZENU
Kuweni na aibu basi hao michepuko ni wachumba za watu eti mnaboa wanagharamiwa kaeni mbali nao, wanagharamiwa acheni ujinga . Mnavurugia wenzenu maisha ya watu wasiwe wanandoa .


Ulimchagua mke mwenyewe ulimchuja ukaona unaweza kuishi naye Sasa shida yanini kutwa kuhangaika na wanawake za watu eti mnawaambia nitakufungulia duka aliyekuambia nani anataka offer zenu nani kaeni na wake zenu tafadhali .. good night tumechoshwa kuhusishwa kwenye ujinga wenu basi

Binamu hili dongo [emoji115] Kama linanihusu vile[emoji26]
 
Back
Top Bottom