Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hatua za wazi wazi zichukuliwe na kuwaanika maofisa wa Polii wanaohusika na wizi huu.Kumekucha
Hii utasubiri sanaHatua za wazi wazi zichukuliwe na kuwaanika maofisa wa Polii wanaohusika na wizi huu.
Du! hakuna kitu hapa ni wale wale, jinai wanayofanya traffic barabarani kula fine na defender ziko barabarani zikuasanya 2000 kwa kila lorry usiku nchi nzima hakuna cha takukuru wala mahakama. kama walivyosema waliopita kabla yake as usual.Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi...
Tulio na kumbukumbu , miaka ya 70 mwanzoni, Rais Nyerere alichukizwa na rushwa na utendaji mbovu wa maafisa wa juu jeshi la polisi.Hii utasubiri sana
Hiyo ilikua enzi ya nyerere sio sasa kwenye enzi za kuruhusiwa kula kwa urefu wa kambaTulio na kumbukumbu , miaka ya 70 mwanzoni, Rais Nyerere alichukizwa na rushwa na utendaji mbovu wa maafisa wa juu jeshi la polisi.
Aliwafukuza wote baada ya utafiti kufanyika na kuthibitika kuwa si waaminifu kazini.
Mama Samia tunaomba afaye hivyo.
Afisa wa polisi hawezi kwenda mwenyewe, kiholela, kuchukua kwenye kituo chao mafuta ya diesel bila kuwepo mtandao wa wizi.
Mkuu kwa hiyo hao polisi waruhusiwe kuiibia serikali yao with impunity?Hiyo ilikua enzi ya nyerere sio sasa kwenye enzi za kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba
Tatizo hao ni ndugu wa vigogo huwezi kuwafanya chochoteHii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi.
Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
Acha kila mtu atafune vizuriMkuu kwa hiyo hao polisi waruhusiwe kuiibia serikali yao with impunity?
Siyo bure itakuwa mzazi wako afisa wa polisi.
Kwa hiyo polisi mwizi, tena ofisa, atamkamataje mwizi?Acha kila mtu atafune vizuri
Nchi imeoza brotherKwa hiyo polisi mwizi, tena ofisa, atamkamataje mwizi?
Unaleta khabar nusu nusu yakheeHii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi.
Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
Kweli ni masikitiko kwa jeshi la polisiNchi imeoza brother
Ukipata nafasi wewe iba wala hakuna nenoKweli ni masikitiko kwa jeshi la polisi
Hili swali muulize rais wako kipenzi ndiyo alitoa hiyo kauli ya urefu wa kamba.Mkuu kwa hiyo hao polisi waruhusiwe kuiibia serikali yao with impunity?
Siyo bure itakuwa mzazi wako afisa wa polisi.
La urefu wa kamba maana yake kuiba?Hili swali muulize rais wako kipenzi ndiyo alitoa hiyo kauli ya urefu wa kamba.