Hii ni kitu gani kwenye treni hii ya kisasa?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa!




Muonekano wa treni zingine 👇

 
Fikra zako na huyo mwamba uliyemweka kwenye DP yako ni vitu viwili tofauti wewe ni wale watu wanaolazimisha kutafuta makosa ili mradi tu, Jitahidi kuwa chanya itakusaidia kwa afya ya akili yako.
Haujaelewa point ya maada husìka, hivi gharama halisi ya treni inayoonekana na ahadi ya aina ya treni iliyotolewa awali vinalingana? Kweli karne hii unatumia treni ya zamani ambayo haiwezi kufika walau 200km/hr tena kwa gharama kubwa sana ambayo ingetosha kabisa kupata treni bora zaidi na ya kisasa?
 
Unajua gharama zilizotumika kununua hizo treni za TRC?
Unajua gharama ya treni ambazo ni bora zaidi yake?
Kama hujui mchanganuo wa gharama aforemantioned basi hapa utakuwa unafanya uropokaji ambao ni zao ni la ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…