GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 456
- 1,352
Hili ni tatizo kubwa sana kwetu sisi wabongo Mr Know Everything…..hujasomea wala specialize kwenye field husika ila utakosoa tu tena ukiwa na confidence 100 wewe ni mhadisi wewe huyo huyo ni dokta, coach, economist…..kada zote hatari, wabongo tupunguze ujuaji.Haujaelewa point ya maada husìka, hivi gharama halisi ya treni inayoonekana na ahadi ya aina ya treni iliyotolewa awali vinalingana? Kweli karne hii unatumia treni ya zamani ambayo haiwezi kufika walau 200km/hr tena kwa gharama kubwa sana ambayo ingetosha kabisa kupata treni bora zaidi na ya kisasa?