Haujaelewa point ya maada husìka, hivi gharama halisi ya treni inayoonekana na ahadi ya aina ya treni iliyotolewa awali vinalingana? Kweli karne hii unatumia treni ya zamani ambayo haiwezi kufika walau 200km/hr tena kwa gharama kubwa sana ambayo ingetosha kabisa kupata treni bora zaidi na ya kisasa?