Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
He! Babu inabakiaje kipisi? Aisee unanitisha mpaka nawaogopa mademu aise. Na gunaniliu gwangu gulivo kafupi!..Pole sana Mkuu
Pamoja na changamoto ya kifedha uliyonayo, jaribu kupambana uende kwaajili ya vipimo na matibabu
Uza hata smartphone unayotumia ili uende ukatibiwe
Ukifanya mchezo huo ugonjwa unaweza kutafuna kichwa chote cha uume ukabaki na kipisi
Sina helaHauna Nini?
Si ulisema weye ni tajiri, unakosaje elf 20?Sina hela
SawaSi ulisema weye ni tajiri, unakosaje elf 20?
Kuna maradhi mengine (STDs) ukichelewa kujitibu, kifanyio kinalika hadi kubaki kipisiHe! Babu inabakiaje kipisi? Aisee unanitisha mpaka nawaogopa mademu aise. Na gunaniliu gwangu gulivo kafupi!..
Bahati nzuri bado sijaanza kuchakata mbususu.
Mungu bariki kiboo changu.
Dah! Kula ugali na picha ya samaki kunaniokoa sana.Kuna maradhi mengine (STDs) ukichelewa kujitibu, kifanyio kinalika hadi kubaki kipisi
Mwaka 47, Wazee wenzangu wengi tu walibaki na vipisi kwa kushambuliwa na hayo magonjwa
Hiyo ni nzuri sana Mkuu, unakuwa umejilinda na maradhi lakini pia utakuwa umekilinda kibunda (kipato) chakoDah! Kula ugali na picha ya samaki kunaniokoa sana.