Kijana Hana pesa,, team zote mbili ziungane kusaidia jamii hela zao zisitumike kizembe kwa wanawake zisaidie kijana mwenzao.Kwa nini team kataa ndoa na kuhongwa inahusiana vipi hapo mkuu?
Sidhani kama ni GONO kwasababu sijatoa uchafu wala sisikii maumivu wakati wa kukojoa ni muwasho tu na hicho kipele unakionaGono hili kudadadeki, unathomba mabaamedi nini mkuu? Waho hospital cha
Charaza kwenye mshono mayoo, mpaka uchanike 😂😂Wale wa kusema bora nisaidie mwanaume mwenzangu toeni ushirikiano maana na picha katuma.
Kabisa wamsaidie mwenzao 😂 na wamshauri aache kuchovya chovya hovyo!Ita team kataa ndoa na team kataa kuhongwa kwa umoja wao wa muokoe kijana kabla hajabakiza kipisi
Katibu msaidizi niko hapa, kuhakikisha hatumiss jina hata moja la mchangiajiTuone umoja wao unavyofanya kazi,, seran simama kama muhasibu mkuu!!!! Katibu muandika majina ya michango Niko hapa
Mwenye kiti wao nimeshawatajia huko bado kamati ya wachawi wa singo mama haijafika🤣Charaza kwenye mshono mayoo, mpaka uchanike 😂😂
Kabisa wamsaidie mwenzao 😂 na wamshauri aache kuchovya chovya hovyo!
Katibu msaidizi niko hapa, kuhakikisha hatumiss jina hata moja la mchangiaji
Ningeshangaa sana kama usingekuja kwenye hii mada.Charaza kwenye mshono mayoo, mpaka uchanike 😂😂
Kabisa wamsaidie mwenzao 😂 na wamshauri aache kuchovya chovya hovyo!
Katibu msaidizi niko hapa, kuhakikisha hatumiss jina hata moja la mchangiaji
Mficha uchi hazai mkuu, kuna maajabu gani kuhusu viungo vyetu? Watu wanaviona kila siku mbona afu huku ninatumia fake username na sina mpango kuonana na mtu, shida ipo wapi?We jamaa unazingua. Kuna mambo huwezi fanya ata iweje.
Mbona tunapeana michongo mingi tu humu, yawezekana huyu kailoweka pabovu , tena kwa kuhonga , sioni kataa ndoa na wapinga kuhonga Kama wanahusika hapa🤔Kijana Hana pesa,, team zote mbili ziungane kusaidia jamii hela zao zisitumike kizembe kwa wanawake zisaidie kijana mwenzao.
Hapa tuthibitishe ule msemo"kuliko kuhonga mwanamke asiye na shukrani Bora nisaidie mwanaume mwenzangu
Na iwe hivyo, kijana anaweza kupoteza kiungo muhimu mno kwa sisi wanaumeHaina shida mzee mwenzangu. Nimekwambia slay queen Seran asimamie jambo
Wakuache bhna kwani kuna mtu hajui kicwa humu?Mficha uchi hazai mkuu, kuna maajabu gani kuhusu viungo vyetu? Watu wanaviona kila siku mbona afu huku ninatumia fake username na sina mpango kuonana na mtu, shida ipo wapi?
Kwa hiyo unaukana huo msemo na dogo unamuepuka kabisa?Mkuu huyu hasaidiki, hakuna Bahati mbaya ikiwa alitomb* bila kutumia kinga.
Madogo wa siku hizi wanaanza mapenzi mapema hata Condom haziwatoshi (Condom kubwa kuliko size ya uume wao), na elimu ya kujali Afya hawazingatii kabisa.
Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Safi sanaNa iwe hivyo, kijana anaweza kupoteza kiungo muhimu mno kwa sisi wanaume
Maana pamoja na sisi wengine kuzeeka, bado tumeendelea kuimarisha ulinzi kukilinda hicho kiungo kwa wivu mkubwa
Hata wakati ule wa sekeseke la kushikwa bega, nilihakikisha hakuna mtu ananikaribia na kujaribu kunisishika bega 😜
Mkuu watu hawaelewi kuna kipindi unapitia huna hata akiba wala kazi na hata pesa ya kula ni kuunga. Wanajua maisha ya kila mtanzania ni sawa. Hii sio kweli, ndio maana nimekuja hapa nipate ushauri na ufumbuzi.Mtoa maada kasema uchumi mbovu hana Senti ya kwenda hospital watu wamekomalia nenda hospital 💔
Ila humu🙌
nitakutafuta kwa maongezi ya zama za mawe za kaleWakuache bhna kwani kuna mtu hajui kicwa humu?
Ahsante mkuu.Ndugu mleta mada ungemuona daktari, kwa daktari ni sehemu sahihi ya kuweka faragha yako .
Pole lakini.
Nimegundua kuna viungo unaweza kupoteza ukabaki na amani, lakini sio hicho kiungoSafi sana
Mtu ambaye hana kazi naye anatafuta atakua na msaada wa kuchumi kweli? Subiri aje kumchamba tu na maparagraph yake, halafu apite vile 😂Mwenye kiti wao nimeshawatajia huko bado kamati ya wachawi wa singo mama haijafika🤣
Tuongee hapa hapanitakutafuta kwa maongezi ya zama za mawe za kale