Hii ni kitu gani wakuu?

Mkuu, unaweza kupata Syphilis bila discharge au maumivu unapokojoa?
Yeap... Kwasababu ina phases 3

Na mostly ya hizo phases wengine wanapoziona wanaziignore

Ambazo ni Primary phase, secondary na tertiary phase.

Moja ya sifa ya kidonda Cha syphilis ni Hakiumi, wekundu ambao wakati mwingine unaweza kuambatana na unjano.

Pamoja na hayo, unaweza kuwa na magonjwa mengine especially STD's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…