Hii ni kitu gani wakuu?

Duh,
Mambo ya hivyo ndo hufanya watu kuepuka kupeana mautamu

Ashasema hana pesa ya hospital..
anaweza kusaidika pia walau hata kumuona daktari tu na kuchukua mawaidha yake ya kitabibu na akajitibie home taratibu,

asifiche hiyo kitu japo ni fedheha pamoja na unyonge wa kiuchumi anaopitia,asichoke kuexpose hiyo hata kwa wataalamu kwenye famasia na hapo anaweza kusaidika kirahisi zaidi na pesa akaja kulipa baadaeπŸ’
 
Ikifika jioni mambo kwa ushahidi. Shirikisho likifeli tunaingia maua ya dunia tumnukishe roses
Labda ajitolee Grahams awaokoe, zaidi ya hapo najua kikapu kitakua tupu πŸ˜‚

Shirikisho likifeli dada zake tupo, akipona mhasibu wetu Seran atatusaidia kuhakiki kama pesa zimetumika kwenye tiba kweli πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna sehemu nilikuwa siambiwi nikasikia, sijui nilipewa limbwana na Lishangazi

Yaani hadi nilikonda kutokana na kutumika, maana haikuwa rahisi kubeba paja la kilo 50 masaa 2 ukipanda

Mishangazi ilaaniwe kuua nguvu kazi za vijana πŸ˜‚
Nyie na mwaka 47!!!!! Tukisanua msamba kidogoo tu!!!!! Utasikia we mama yilna hebu tulia huko ndio Nini hicho
πŸ˜‚ni mwendo wa mishenari hadi tunazeeka, ole wako uongeze ufundi wa kukata viuno katikati ya safari, utaambiwa huo mtindo umefundishwa na nani huko nje
 
Hii ndiyo tunaita makavu live! Hakuna kupepesa macho wala kumung'unya maneno.

Halafu usikute kijana alikula tunda kimasihara ili aje asimulie kwenye ule uzi wao pendwa! Ndiyo anakutana uso kwa uso na hili balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…