Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia.

Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii imempelekea kila siku jioni lazima alazimishe tuonane.

Tangu wiki iliyopita hataki kuniachia nafasi, akitoka kwenye shughuli zake ataniuliza niko wapi?.

Nitakapokuwepo atalazimisha aje, na baadaye tutaenda nyumbani na kufanya yetu mpaka asubuhi.

Mbaya zaidi amenipa vitisho, ikitokea amenifumania, yuko tayari wote tukose.

Sasa najiuliza, hii ni kuchanganikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

Sasa hivi yuko njiani anakuja
 
Mbwembwe za penzi bichi bichi/linalochipukia.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Inawezekana vipi mimi na wewe wote tupitie situation moja..?? Hahaha
Napitia exactly ulichokiandika right now, shida kwangu ni huyu “mshangazi” anawaza tuzae wote na hapo ndo anaponikwaza, imebidi kila nikienda kula tunda nibebe P2 na maji, tukimaliza tu namlazimisha ameze. Inanikwaza sana. Ukute kachanganyikiwa na ford hii kumbe ni hela za wife bhn, hahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…